Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,067
- 10,936
TingaTinga likiwa katika harakati za uokoaji
Wachimbaji kadhaa wamefukiwa na kifusi katika kijiji cha Sangambi wilaya ya Chunya mkoani Mbeya, hivi sasa juhudi za kuokoa uhai wao zinaendelea muda huu.
Last edited by a moderator: