Wachimbaji visima vya maji safi

Wachimbaji visima vya maji safi

Villanova tito

Senior Member
Joined
Dec 20, 2016
Posts
148
Reaction score
154
✍️KARIBUNI SANA Wells technology wachimbaji visima vya maji safi na salama kwa matumizi ya binadamu wanyama na mimea Leo tutakupa hatua FUPI za kufata KABLA HUJACHIMBA KISIMA Cha kisasa

✍️hatua ya kwanza ni geophysical survey yaan utafiti wa maji ardhini katika eneo lako hapo atakuja mtalaam na vifaa digital vya kupima eneo kujua Je Kuna mikondo ya maji Iko umbali gani aina ya miamba Je Kuna mfumo wa maji taka kisima kichimbwe eneo Gani kwa usalama hatua hii ni muhimu Sana SABABU ndio inatoa mwongozo na gharama halisi za kisima mpk kikamilike

✍️hatua ya pili kuomba kibali Cha uchimbaji kwenye mamlaka husika kama wami ruvu hizi mamlaka hutoa kibali kuendelea ZOEZI kwa sababu za usalama wa maji na vyanzo vyake

✍️hatua ya tatu uchimbaji hatua hii ni mkandarasi kuja site na vifaa kwa AJILI ya kuchoronga mwamba mpk mita AMBAZO report imesema afike BAADA ya hapo mkandarasi ataweka Bomba special PVC kwa ajili ya kuchota maji kwenye mikondo ili kuwa safi na salama
✍️Hatua ya mwisho ni uvunaji maji hapa itafungwa pump special kuvuta maji mpk juu kwa ajili ya matumizi

Mawasiliano 0657710078
0769509666
Ushaur ni bure

Tunapatikana dar es salaam
 
Attachments

  • DSC_0003.JPG.jpg
    DSC_0003.JPG.jpg
    1.2 MB · Views: 19
  • 250510_132933_00002115.jpg
    250510_132933_00002115.jpg
    798.4 KB · Views: 22
Na mikoani mnaenda? Gharama zikoje kwa mita?
 
✍️KARIBUNI SANA Wells technology wachimbaji visima vya maji safi na salama kwa matumizi ya binadamu wanyama na mimea Leo tutakupa hatua FUPI za kufata KABLA HUJACHIMBA KISIMA Cha kisasa

✍️hatua ya kwanza ni geophysical survey yaan utafiti wa maji ardhini katika eneo lako hapo atakuja mtalaam na vifaa digital vya kupima eneo kujua Je Kuna mikondo ya maji Iko umbali gani aina ya miamba Je Kuna mfumo wa maji taka kisima kichimbwe eneo Gani kwa usalama hatua hii ni muhimu Sana SABABU ndio inatoa mwongozo na gharama halisi za kisima mpk kikamilike

✍️hatua ya pili kuomba kibali Cha uchimbaji kwenye mamlaka husika kama wami ruvu hizi mamlaka hutoa kibali kuendelea ZOEZI kwa sababu za usalama wa maji na vyanzo vyake

✍️hatua ya tatu uchimbaji hatua hii ni mkandarasi kuja site na vifaa kwa AJILI ya kuchoronga mwamba mpk mita AMBAZO report imesema afike BAADA ya hapo mkandarasi ataweka Bomba special PVC kwa ajili ya kuchota maji kwenye mikondo ili kuwa safi na salama
✍️Hatua ya mwisho ni uvunaji maji hapa itafungwa pump special kuvuta maji mpk juu kwa ajili ya matumizi

Mawasiliano 0657710078
0769509666
Ushaur ni bure

Tunapatikana dar es salaam
Kutaja bei ndio suala huwa linakuwa gumu.

Shida hii kazu imejaa madalali sana
 
Leo nakupa hatua muhimu ya kufanya kabla HUJACHIMBA KISIMA Cha kisasa borehole hatua hiyo ni
Geophysical survey hatua hii ni upimaji eneo lako kujua Lina mikondo ya kudumu ya maji yako umbali gani na wingi wa maji

BAADA ya hatua hii itatoka report kuonesha maji yako umbali MITA NGAPI

GHARAMA za survey dar es salaam ni TSH 320000 mikoani gharama ni kuanzia 600000 kuendelea

Mawasiliano 0769509666 0657710078

Tunapatikana dar es salaam mikoani tunafanya delivery
 
Unaelewa maana ya delivery?
 
Hiv hakunaga namna nzuri ya kutunza lile tope mnalotoa humo? naonaga kisima kinachimbwa halafu mitope inasambazwa hovyohovyo
 
Leo nakupa hatua muhimu ya kufanya kabla HUJACHIMBA KISIMA Cha kisasa borehole hatua hiyo ni
Geophysical survey hatua hii ni upimaji eneo lako kujua Lina mikondo ya kudumu ya maji yako umbali gani na wingi wa maji

BAADA ya hatua hii itatoka report kuonesha maji yako umbali MITA NGAPI

GHARAMA za survey dar es salaam ni TSH 320000 mikoani gharama ni kuanzia 600000 kuendelea

Mawasiliano 0769509666 0657710078

Tunapatikana dar es salaam mikoani tunafanya delivery
Gharama za Survey zipo. Za kuchimba hata kwa mita ni bure? Nyie ni watu safi sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom