Wachimbaji Visima katika Mikoa yote

130*250000=32,50000 duh nimepiga kwa mita 130 kwa eneo la pwani kuchimba ndo bei iyo mh ww kweli ni dalali siyo kwa pesa iyo maana pesa ya kuchimba kisima inapita mpaka thamani ya nyumba
Kisima cha mita 130 unataka kusambaza maji mji mzima wa bagamoyo? Kisima cha futi 240 sawa na 80 inatosha hata kwa kumwagilia
 
Kwa galama zake huyu jamaa bado ipo juu sana ukipiga hata iyo mita 80 bado inasona million 20
 
Haa Pesa Za Kukopa Banks
 
Kwa galama zake huyu jamaa bado ipo juu sana ukipiga hata iyo mita 80 bado inasona million 20
Nilichimba Kisima Mita 100 Gharama Ilikuwa Ya Kijumbe Tu
Yaani Unapewa Darasa Mpaka Mchimbaji Unamwelewa
 
Mita Tshs 50000/= pia Ikiwa Kuna Mwamba Bomba Haziwekwi Mpaka Chini
Gharama Zote Mpaka Maji Yanatoka Sasa Mwaka Wa 3 Majira Yote Ilikuwa Millions 5
Iyo affordable kabisa kwa mtanzania ni rahisi kumudu kwa mita 50k
 
mkuu bei ya visima kama nauli za mabasi au ndege nauli ya mwanza na Tanga ni tofauti mkuu pia mtambue hizi gharama sio zinatiwa mfukoni mkuu kuna materials kuna nishati kuna PVC kuna pump installation pia kisima cha mita 50 ni tofauti na cha mita 150 pia muwe mnaangalia bei elekezi za serikali afu mje mtuambie nani achimba kisima kwa bei ndogo?
 
130*250000=32,50000 duh nimepiga kwa mita 130 kwa eneo la pwani kuchimba ndo bei iyo mh ww kweli ni dalali siyo kwa pesa iyo maana pesa ya kuchimba kisima inapita mpaka thamani ya nyumba
mkuu visima kama vingelikuwa rahisi basi mimi mwenyewe binafsi ningeliwachimbia ndugu zangu wote 😂😂😂
 
Mita Tshs 50000/= pia Ikiwa Kuna Mwamba Bomba Haziwekwi Mpaka Chini
Gharama Zote Mpaka Maji Yanatoka Sasa Mwaka Wa 3 Majira Yote Ilikuwa Millions 5
50,000 kwa mita unaweza chimba Dar maana formation za Dar ni Mud rotary na sio DTH
 
Eneo la mlandizi kwa mita shingap maana ni mchanga eneo lake
 
Hongera ndugu,kama kweli unachimba na kupata maji bei zako ni nzuri,hivyo endelea kupiga kazi.
 
Kisima cha mita 130 unataka kusambaza maji mji mzima wa bagamoyo? Kisima cha futi 240 sawa na 80 inatosha hata kwa kumwagilia
Mkuu inategemea sehemu na sehemu,
tabata nilichimba mita 80 miaka kadhaa imepita na kisima hakijawahi kukata maji,
lakini huku kibaha wajuzi wameniambia ukichimba chini ya mita mia moja hupati maji ya kudumu.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…