Kwa ninavyoijua jf hata ningeandika kurasa 5 kufafanua hili jambo lkn lazma kutokee watu ambao kimsingi sio wahitaji wa huduma hii ila wanasoma maelezo wapate pa kukosoa,kila mtu ni mjuaji humu ndani na kila mtu anavizia post za mwngne ili amkosoe yani ndio tumejizoesha hivyo humu.
Anyways maelzezo mengine yatapatikana baada ya mteja kuuliza na mwenye nia hasa na uhitaji wa jambo hili ni lazma atauliza tu