Wachezaji wenye asili ya Afrika ambao hawakuchezea nchi zao

Mi naomba kuuliza hivi huwa inakuaje inchi za Nigeria na Ghana ni nchi zenye waislam wengi sana lakin watu maarufu karbia wote wanaotekea hizo nchi huwa ni wakristo?

Hilo ni swali tu ambalo nimekua nikijiuliza miaka mingi sana wala halina udini wowote ule

Sent using Jamii Forums mobile app
Pengine wako ila hujui kutokana na majina yao, mfano Aliko Dangote kwa jina tu huwezi kujua kama muislam ila ni Alhaj kabisa yule jamaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kama vile unauliza kwanini Kenya wachezaji wote Harambee Stars na timu zingine wa Kenya wana majina ya Ocholla, Ochieng', Omolo wakati kuna makabila 42.

Inawezekana huko Ghana kuna sehemu kama Kigoma-Ujiji inatoa wachezaji wengi Tanzania au kaunti ya Nyanza-Kisumu Kenya inayotoa kina Omolo. Hivyo hakuna suala la dini au kabila ni matokeo tu sehemu fulani kuna vipaji.
safi sana kwa kutufahamisha mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukristo unautaratibu mzurisana ktk makuzi(uleaji wakikanisa),sisi waislamu tunafundisha elimu ahela mudawote

Sent using Jamii Forums mobile app

Wewe ni mkristo hata biblia yako huenda huijui mjomba,,,

Eti ahela badala ya Akhera. Nyie kwa hoja ni ZERO kabisa, na ndiomaana PROFESSOR MAZINGE uwa anawaumbua live na kusababisha mamia ya wakristo,pagani n.k kusilimu/kuingia katika uislamu,,,tena co kwa kulazimishwa mjombaa "Uislamu haulazimishi" mpaka serikali ikaona hapa hapana wakaona solution ni kuficha aibu yenu/yao wagalatia, na
nafikiri walipiga kabisa marufuku mihadhara baada ya kuona hali yazidi kuwa tete upande wenu mjombaa 😂😂😂
 
Hili linasaidiaje uislam?

Kwamba uislam haujitoshelezi kiasi cha kuhitaji endorsement ya wacheza soka?

Unaweza tetea vitu vingine ukaishia kuonekana mweupe tu kichwani.

Kesho utakuja na 'Tajiri namba moja africa ni mwislam, wakati wakati huo huo wewe huna uhakika wa kula pamoja na hayo yote.

Tuache ushamba wa kidini. Lets use our religions wisely. Sio kutumia dini kuji mwambafy

Sent using Jamii Forums mobile app

Punguza jazba mkuu, hiyo msg nilimjibu mpumbavu mmoja tizama alichokiandika kwanza na tatizama mada ilivyokua ikienda.
 
. .
.
🇫🇷 FRANCE
Zinedine Zidane— Algeria 🇩🇿
Kylian Mbappe— Cameroon 🇸🇳 Steven Tatenda Nzonzi- Zimbabwe 🇿🇼
Karim benzema— Algeria 🇩🇿
N’Golo Kante— Mali 🇲🇱
Paul Pogba— Guinea 🇬🇳
Adil Rami— Morocco 🇲🇦
Samuel Umtiti— Cameroon 🇨🇲 Samir Nasri— Algeria 🇩🇿
Blaise Matuidi— Angola 🇦🇴
Hatem Ben Arfa— Tunisia 🇹🇳
Moussa Sissoko— Mali 🇲🇱
Nahil Fakir— Algeria 🇩🇿
Bacary Sagna— Senegal 🇸🇳
Djibril Cisse— Ivory Coast 🇨🇮
Claude Makalele— Dr Congo 🇨🇩
Patrice Evra— Senegal 🇸🇳
Patrick Vieira— Senegal 🇸🇳
Ousmane Dembele— Mali 🇲🇱
Nicolas Anelka— Cameroon 🇨🇲
Bafetimbi Gomis— Senegal 🇸🇳 .
.
.
🇩🇪 GERMANY
Jerome Boateng— Ghana 🇬🇭
Serge Gnabry— Ivory Coast 🇨🇮
Leroy Sane— Senegal 🇸🇳
Sami Khedira— Tunisia 🇹🇳 .
.
.
🇵🇹 PORTUGAL
William Carvalho— Angola 🇦🇴 Eder— Guinea Bissau 🇬🇼
Luis Nani— Cape Verde 🇨🇻
Renato Sanches— Cape Verde 🇨🇻
Eusebio— Mozambique 🇲🇿 .
.
🇧🇪 BELGIUM
Divock Origi— Kenya 🇰🇪
Nacer Chadli— Morocco 🇲🇦
Christian Benteke— Dr congo 🇨🇩
Marouane Fellaini— Morocco 🇲🇦
Michy batshuayi— Dr Congo 🇨🇩
Romelu Lukaku— Dr Congo 🇨🇩 🇮🇹 ITALY
Mario Balotelli— Ghana 🇬🇭
Stephan El Shaarawy— Egypt 🇪🇬 .
.
🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 ENGLAND
Dele Ali— Nigeria 🇳🇬
Danny Welbeck— Ghana 🇬🇭
Alexandra Trent Muchemwa Arnold -Zimbabwe 🇿🇼 HOLLAND
Ibrahim Afellay— Morocco 🇲🇦
Khalid Boulahrouz— Morocco 🇲🇦
Theodor Selassie— Ethopia 🇪🇹
David Alaba— Nigeria 🇳🇬
Mbona umewasahau ? Emily mpenza na mboo mpenza - Congo ( Belgium)
 
Wewe ni mkristo hata biblia yako huenda huijui mjomba,,,

Eti ahela badala ya Akhera. Nyie kwa hoja ni ZERO kabisa, na ndiomaana PROFESSOR MAZINGE uwa anawaumbua live na kusababisha mamia ya wakristo,pagani n.k kusilimu/kuingia katika uislamu,,,tena co kwa kulazimishwa mjombaa "Uislamu haulazimishi" mpaka serikali ikaona hapa hapana wakaona solution ni kuficha aibu yenu/yao wagalatia, na
nafikiri walipiga kabisa marufuku mihadhara baada ya kuona hali yazidi kuwa tete upande wenu mjombaa 😂😂😂
Na wewe pia umejiunga kwenye kutoa majibu ya kijinga. Yule mjinga uliyemu quote hukutakiwa kumwonesha kwamba kumbe na wewe ni wale wale. Umeingia mtego kwa kutaka kuibadili mada iwe ya mabishano ya dini. Hakuna atakayeshinda lakini kwa wajinga mtafikiri hoja zenu zimeshinda.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom