Wachezaji wa Yanga wamkataa Nadir Haroub (Cannavaro) kwa kuwa ni mbea na mnafiki

Jana kapigwa na Simon Msuva halafu wakiwa ndani Deus Kaseke nae akamtukana na ilibidi Mohamed Binda aingilie kati kuwatuliza Vijana wake. Na kama hiyo haitoshi kwakuwa umechokoza na sasa nakupa NYETI nyingine ni kwamba jana hiyo hiyo pia Kocha wa Yanga Lwandamina aligombana na hadi kurushiana maneno ya Kocha wa Makipa wa Yanga Juma Pondamali ' Mensah ' kwakuwa Kocha alichukizwa sana goli alilofungwa Deogratius Munishi ' Dida ' na kwamba Kocha anavutiwa sana na Kipa Ben Kakolanyi na Ally Mustafa ' Barthez ' ila Kocha huyo wa Makipa wa Yanga Pondamali ana BIFU lisiloisha na Ally Mustafa ' Barthez '. Nimalizie tu kwa kukuambia muda wowote Kocha wa Makipa wa Yanga Juma Pondamali ' Mensah ' anafungashiwa virago vyake kwani Lwandamina amechukizwa nae kwa mabishano yao ya jana.
mkuu GENTAMYCINE endelea kutujuza nyeti
 
mkuu GENTAMYCINE endelea kutujuza nyeti

Ninachofurahi tu ni kwamba Efm kupitia kwa Watangazaji wake Omary Katanga na Yusuph Mkule tokea juzi Jumamosi jioni katika Kipindi chao cha Michezo na hata leo katika Kipindi cha Sports Headquarters ameutumia uzi huu huu wangu kama ndiyo leading story yake kitu ambacho nimefarijika mno japo nadhani aliona tu aibu kuipa credits JF. Kwa mliosikiliza Efm Ijumaa usiku na leo Jumatatu asubuhi kuanzia Saa 3 na dakika 22 hadi na dakika 27 mtakuwa mlimsikia na kila kitu alichokuwa anawaelezea Umma wa Wasikilizaji wake alikuwa akifanya reference ya nilichoandika tena tukio zima kama lilivyo na juzi Omary Katanga alimpigia Simu Kocha wa Makipa wa Yanga Juma Pondamali ' Mensah ' kumuuliza kile nilichokiandika hapa na kweli Pondamali akasema kama nilivyoandika na hakuishia tu hapo kwa hasira kabisa Juma Pondamali akasema kuwa kwanza hababaiki na Yanga kwani hata hadi sasa anafanya Kazi hapo Yanga hana Mkataba na anaona wanamzingua tu.
 
Back
Top Bottom