Duuhh! Kaaaazi kweli kweli. Yote hiyo ni hofu, mpira ni burudani sio kifo.
Anaitwa Simon Brodkin, aliwachekesha watu pale alipovaa kama wachezaji wa Uingereza na kutaka kujumuika nao pale walipokuwa wanaelekea Brazil kwa ajili ya World Cup, 2014.Mkuu huyu ni comedian maarufu wa England ambaye hapo ajilifanya kuwa ni mmoja wa wachezaji wa timu ya taifa ya England wakati wakisafiri kwenda Brazil kwenye Kombe la Dunia 2014. Hapo akiondolewa kwenye msafara wa timu.
Na alimtupia Blatter dola kule Zurich katika mkutano mwaka jana eti ili aiwezeshe North Korea 2026 kombe la duniaAnaitwa Simon Brodkin, aliwachekesha watu pale alipovaa kama wachezaji wa Uingereza na kutaka kujumuika nao pale walipokuwa wanaelekea Brazil kwa ajili ya World Cup, 2014.
Ha ha ha! Huyu kichaa kweli.Na alimtupia Blatter dola kule Zurich katika mkutano mwaka jana eti ili aiwezeshe North Korea 2026 kombe la dunia
Huu ni utani wa nguvu kwa wana Arsenal, ingekuwa ni ugomvi wa wanyama inakuwa kama mbuzi analazimishwa akagombane na chui tena kibaya zaidi chui yupo uwanja wa nyumbani. Wewe ungekuwa ndiye mbuzi, usingeenda huku miguu ikikutetemeka?