Wachezaji tajiri duniani 2014,CR7 ampiku Beckham

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
6,163
Reaction score
11,230
Mtandao wa Goal.com,umetoa majina ya wachezaji tajiri duniani kwa mwaka 2014.Cristiano Ronaldo ambaye ni nahodha wa timu ya taifa ya Ureno,mshindi wa tuzo za mwanasoka bora wa dunia mara mbili ndio anaongoza list hiyo.

Katika listi hiyo, Ronaldo amerithi nafasi ya kwanza iliyokuwa ikishikiliwa na David Beckham kwa muda mrefu kaba ya kustaafu msimu uliopita.

Ronaldo ambaye alisaini mkataba mnono zaidi na Real Madrid miezi kadhaa iliyopita amempita mshindani wake Lionel Messi na mwanasoka anayelipwa zaidi kimshahara Wayne Rooney.

Samuel Eto'o ndio muafrika pekee aliyeweza kuingia kwenye listi ya wanasoka matajiri zaidi duniani.

LISTI KAMILI
1. Cristiano Ronaldo £122m
2. Lionel Messi £120.5m
3. Samuel Eto'o £70m
4. Wayne Rooney £69m
5. Kaka £67.5m
6. The Neymar family £66m
7. Ronaldinho £64m
8. Zlatan Ibrahimovic £57m
9. Gianluigi Buffon £52m
10. Thierry Henry £47m

SOURCE: Goal.com
 
naskia wabongo wanamuita etoo shemej. haya nami nafata mkumbo hongera shemj
 
Ngasa yupo 20 bora
source:gazeti la yanga
 
Mtandao wa Goal.com,umetoa majina ya wachezaji tajiri duniani kwa mwaka 2014.Cristiano Ronaldo ambaye ni nahodha wa timu ya taifa ya Ureno,mshindi wa tuzo za mwanasoka bora wa dunia mara mbili ndio anaongoza list hiyo.

Katika listi hiyo, Ronaldo amerithi nafasi ya kwanza iliyokuwa ikishikiliwa na David Beckham kwa muda mrefu kaba ya kustaafu msimu uliopita.

Ronaldo ambaye alisaini mkataba mnono zaidi na Real Madrid miezi kadhaa iliyopita amempita mshindani wake Lionel Messi na mwanasoka anayelipwa zaidi kimshahara Wayne Rooney.

Samuel Eto'o ndio muafrika pekee aliyeweza kuingia kwenye listi ya wanasoka matajiri zaidi duniani.

LISTI KAMILI
1. Cristiano Ronaldo £122m
2. Lionel Messi £120.5m
3. Samuel Eto'o £70m
4. Wayne Rooney £69m
5. Kaka £67.5m
6. The Neymar family £66m
7. Ronaldinho £64m
8. Zlatan Ibrahimovic £57m
9. Gianluigi Buffon £52m
10. Thierry Henry £47m

SOURCE: Goal.com

Ronaldo de Assis Moreirra yeye ana Pesa na Skills...
 
Sasa mbona simwoni David beckham kwenye list?????¿
 
Asanteeeee samweli etoo
Mtandao wa Goal.com,umetoa majina ya wachezaji tajiri duniani kwa mwaka 2014.Cristiano Ronaldo ambaye ni nahodha wa timu ya taifa ya Ureno,mshindi wa tuzo za mwanasoka bora wa dunia mara mbili ndio anaongoza list hiyo.

Katika listi hiyo, Ronaldo amerithi nafasi ya kwanza iliyokuwa ikishikiliwa na David Beckham kwa muda mrefu kaba ya kustaafu msimu uliopita.

Ronaldo ambaye alisaini mkataba mnono zaidi na Real Madrid miezi kadhaa iliyopita amempita mshindani wake Lionel Messi na mwanasoka anayelipwa zaidi kimshahara Wayne Rooney.

Samuel Eto'o ndio muafrika pekee aliyeweza kuingia kwenye listi ya wanasoka matajiri zaidi duniani.

LISTI KAMILI
1. Cristiano Ronaldo £122m
2. Lionel Messi £120.5m
3. Samuel Eto'o £70m
4. Wayne Rooney £69m
5. Kaka £67.5m
6. The Neymar family £66m
7. Ronaldinho £64m
8. Zlatan Ibrahimovic £57m
9. Gianluigi Buffon £52m
10. Thierry Henry £47m

SOURCE: Goal.com
 
Ningemuona Yaya Toure angalau ningeelewa huo mdadavuo wao.
 
Kaseja na maduka yote yale hayumo kwenye listi..!
 
Ningemuona Yaya Toure angalau ningeelewa huo mdadavuo wao.
Katika mtandao wa hovyo kuhusu habari za michezo ni hiyo goal.com...its not good source of info now and always
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom