Wachezaji Starz Tutendeeni Haki Mashabiki

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
Nilikua miongoni mwa shuhuda wa mechi ya Jana (18/05/2014) baina ya Taifa Starz na Zimbabwe, kwa kweli sikufurahishwa na baadhi ya vitendo vya wachezaji kutubagua mashabiki

  1. Wakati Dida anaingia kipindi cha pili akiwapungua mashabiki wa Yanga ilihali hakufanya hivyo kwa wa Simba kipindi cha kwanza
  2. Wakati Domayo anatoka alipiga makofi kuelekea walipo washabii wa Yanga (ingawa sasa ameingia mkataba/sio kusajili Azam) bila kugusa wa Simba
  3. Wakati Ngassa anatoka Kadhalika

Ikumbukwe kwamba

  1. wengi tumepoteza rasilimali zetu kufika pale kushangilia Timu ya Taifa
  2. Ikumbukwe kwamba goli linapofungwa sote hushangilia haijalishi mchezaji wa timu gani anafunga
  3. Mwinyi Kazimoto alitokea Simba lakn washabiki wote walikereka kwa kiwango dhaifu alichoonesha
  4. Ikumbukwe kuwa vikundi takribani viwili vya ushangiliaji vilikua upande wa simba na kusnagilia muda wote wa mchezo
Tafadhali tutendeeni haki wachezaji wetu na kama kun amtu ali-note hali ile jana agonge LIKE

ngapi ngapi mkuu huku kwetu magazeti yanafika baada ya siku tatu
 
Hatuna professionals kabisa, bali ni wachezaji wanazi na mashabiki.
 
kwanza niambie uko wapi ili niwe na uhakika, isije kuwa wewe ni boko haramu uko na dada zetu
 
Hatuna professionals kabisa, bali ni wachezaji wanazi na mashabiki.

kweli mkuu, ndio maana ka Ngasaa kalishindwa kwenda Sudan ili kacheze picha chafu bongo
 
Back
Top Bottom