Wachezaji gani unawatabiria kufanya vema katika timu yako pindi msimu ukianza?

Kiberiti Kidogo

JF-Expert Member
Jan 14, 2017
575
915
Ningependa kushea maoni na wapenda soka wenzangu kuhusu mada tajwa hapo juu. Binafsi ni mpenzi na shabiki damu wa Manchester United. Naomani kabisa Romelu Lukaku, Marcus Rashford, Ander Herera, Juan Mata Garcia, Anton Martial, Luke Shaw watakuwa mwiba mkali sana pale ligi zikianza. Wewe je unawatabiria kina nani katika timu yako kuwika?!?
 
James (JR7) kutoka Madrid to Bayern Munich...Dogo ana uwezo mkubwa sana...kwa lugha ya Kiingereza ningesema hivi "the man is very talented and gifted player".

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
watanzania acheni Utumwa basi hata kidogo. shangilieni Timu Zenu za nyumbani. achaneni na wazungu.. hivi haya mambo mpaka lini???

kwa kweli mnakera sana

Sent from my SM-J200F using JamiiForums mobile app
 
Dunia ni moja kijana. Man U leo wako USA for tour. Wamarekani wenyewe wanamiminika kwenda kuwalaki na ni mashabiki wao pia. Sembuse bongo? Mambo ya michezo hayana mipaka.
 
Back
Top Bottom