Tony Yeyo JF-Expert Member Joined Mar 10, 2014 Posts 733 Reaction score 570 Nov 15, 2016 #1 Leo wakat niko kijiwen yalizuka mabishano kuusu mambo ya kichawi... watu walikuwa wanabishana... kwamba ukilala bila ya kuzima taa basi mchawi hakugusi...je wakuu kuna ukweli apo?
Leo wakat niko kijiwen yalizuka mabishano kuusu mambo ya kichawi... watu walikuwa wanabishana... kwamba ukilala bila ya kuzima taa basi mchawi hakugusi...je wakuu kuna ukweli apo?
bushland JF-Expert Member Joined Mar 6, 2015 Posts 7,015 Reaction score 4,998 Nov 15, 2016 #2 Endelea Na mambo ya kijiweni badala ya kutafuta vitabu usome uongeze maarifa
Brightfame JF-Expert Member Joined Sep 14, 2016 Posts 1,371 Reaction score 1,460 Nov 15, 2016 #3 Hata mimi huwa nasikia hivyo, kwa vile na humu wamo ngoha waje!!
Mulhat Mpunga JF-Expert Member Joined Oct 28, 2010 Posts 27,650 Reaction score 16,731 Nov 15, 2016 #4 Brightfame said: Hata mimi huwa nasikia hivyo, kwa vile na humu wamo ngoha waje!! Click to expand... Nisione mtu ka Mac mshanajr
Brightfame said: Hata mimi huwa nasikia hivyo, kwa vile na humu wamo ngoha waje!! Click to expand... Nisione mtu ka Mac mshanajr
Tony Yeyo JF-Expert Member Joined Mar 10, 2014 Posts 733 Reaction score 570 Nov 15, 2016 Thread starter #5 bushland said: Endelea Na mambo ya kijiweni badala ya kutafuta vitabu usome uongeze maarifa Click to expand... Uswaz juju limezidi mkuu
bushland said: Endelea Na mambo ya kijiweni badala ya kutafuta vitabu usome uongeze maarifa Click to expand... Uswaz juju limezidi mkuu
Squidward JF-Expert Member Joined Jul 21, 2014 Posts 8,519 Reaction score 10,755 Nov 15, 2016 #6 hata mi nimeskia hivo na huwa nafanya hivo sometimes
Tony Yeyo JF-Expert Member Joined Mar 10, 2014 Posts 733 Reaction score 570 Nov 15, 2016 Thread starter #7 Brightfame said: Hata mimi huwa nasikia hivyo, kwa vile na humu wamo ngoha waje!! Click to expand... Wako bize ..asubui ndo watakuja
Brightfame said: Hata mimi huwa nasikia hivyo, kwa vile na humu wamo ngoha waje!! Click to expand... Wako bize ..asubui ndo watakuja
The Transporter JF-Expert Member Joined Aug 26, 2016 Posts 3,582 Reaction score 7,250 Nov 15, 2016 #8 Ngoja aje mshana jr yeye ndio mtaalam wa sayansi hii
Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 78,483 Reaction score 167,068 Nov 15, 2016 #9 jichawi njoo huku ... uje na tule MziziMkavu
Tony Yeyo JF-Expert Member Joined Mar 10, 2014 Posts 733 Reaction score 570 Nov 15, 2016 Thread starter #10 The Transporter said: Ngoja aje mshana jr yeye ndio mtaalam wa sayansi hii Click to expand... Poa ngoja aje tuone
The Transporter said: Ngoja aje mshana jr yeye ndio mtaalam wa sayansi hii Click to expand... Poa ngoja aje tuone
Rais2020 JF-Expert Member Joined Jul 14, 2016 Posts 3,248 Reaction score 5,539 Nov 15, 2016 #11 Ktk yesu hayo mambo yenu hayapo
Kichogo JF-Expert Member Joined Jun 10, 2016 Posts 2,419 Reaction score 3,839 Nov 15, 2016 #12 Warogaji mnadhan wajinga waje wawape siri zao
Tony Yeyo JF-Expert Member Joined Mar 10, 2014 Posts 733 Reaction score 570 Nov 15, 2016 Thread starter #13 msomali90 said: Warogaji mnadhan wajinga waje wawape siri zao Click to expand... Watatoa tu mbona hawana noma
msomali90 said: Warogaji mnadhan wajinga waje wawape siri zao Click to expand... Watatoa tu mbona hawana noma
Tony Yeyo JF-Expert Member Joined Mar 10, 2014 Posts 733 Reaction score 570 Nov 15, 2016 Thread starter #14 Rais2020 said: Ktk yesu hayo mambo yenu hayapo Click to expand... Kwel mkuu
GITWA JF-Expert Member Joined Apr 1, 2012 Posts 1,735 Reaction score 2,066 Nov 15, 2016 #15 Yaani mchawi analoga hata mchana ndio aogope taa!!!??
Swizzy JF-Expert Member Joined Nov 4, 2016 Posts 773 Reaction score 517 Nov 15, 2016 #16 Dawa ya mchawi ni kufungulia sauti kubwa ya redio hata hakugusi ......kuhusiana na mwanga hakuna kitu wengine huwa wanakabwa mchana kweupeeee
Dawa ya mchawi ni kufungulia sauti kubwa ya redio hata hakugusi ......kuhusiana na mwanga hakuna kitu wengine huwa wanakabwa mchana kweupeeee
Tony Yeyo JF-Expert Member Joined Mar 10, 2014 Posts 733 Reaction score 570 Nov 15, 2016 Thread starter #17 GITWA said: Yaani mchawi analoga hata mchana ndio aogope taa!!!?? Click to expand... Hahaha[emoji28][emoji28][emoji28]
GITWA said: Yaani mchawi analoga hata mchana ndio aogope taa!!!?? Click to expand... Hahaha[emoji28][emoji28][emoji28]
GITWA JF-Expert Member Joined Apr 1, 2012 Posts 1,735 Reaction score 2,066 Nov 15, 2016 #18 Watu wanafikiri mchawi ni mtu wa Mchezo mchezo labda mwanga.
Tony Yeyo JF-Expert Member Joined Mar 10, 2014 Posts 733 Reaction score 570 Nov 15, 2016 Thread starter #19 GITWA said: Watu wanafikiri mchawi ni mtu wa Mchezo mchezo labda mwanga. Click to expand... Kumbe si mtu wa kujalibiwa
GITWA said: Watu wanafikiri mchawi ni mtu wa Mchezo mchezo labda mwanga. Click to expand... Kumbe si mtu wa kujalibiwa
metatron JF-Expert Member Joined Sep 26, 2016 Posts 552 Reaction score 278 Nov 15, 2016 #20 cc [HASHTAG]#mshan jr[/HASHTAG] [HASHTAG]#jichawi[/HASHTAG]