Wachambuzi wa soka bongo vihiyo........................................... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wachambuzi wa soka bongo vihiyo...........................................

Discussion in 'Sports' started by only83, Mar 10, 2011.

 1. only83

  only83 JF-Expert Member

  #1
  Mar 10, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Moja ya sifa ya mchambuzi makini katika jambo lolote ni lazima awe na ufahamu wa hali ya juu wa jambo analolichambua....siku za hivi karibuni baada ya kuvamiwa na ukoloni mambo leo katika soka na tukajikuta tumelowea kushabikia timu za ulaya kama Man U,Man City,Arsenal,Chelsea nk wamejitokeza wachambuzi ambao mimi sichelei kusema kuwa ni vihiyo..wao kazi yao ni kukariri majina ya wachezaji na kutudanganya kwa uwezo wao wa kukariri majina magumu ya kizungu....Kasomeni kwanza sio mnatuletea ujanja ujanja tu...................
   
Loading...