Dah elimu? Nakimbuka mbali pia tulikuwa tukienda kukata Majani mtoni unakutana na straberrry unajichumia unajilia uku dar pale kisutu kikontainer kidogo elf tano sijui nirudi kijijini
Nakumbuka zaman nikiwa kama darasa la tatu au nne hivi nilikuwa nmekaa kwenye kijiwe cha kahawa kuna mzee mmoja akawa anawapiga fix wenzake kwamba amewahi kule Mpanda kuna mahindi yanazalia chini kama mihogo.
Basi walibishana na alikomaa kabisa ule ubishi ulidumu zaidi ya week kila siku wanambishia na yeye anakomaa vibaya sijui uliishaje