du uwepo wa smartphone unafanya mtu aandike chochote kile anachokisikia, aya kwa hiyo hili umeliona ulete huku, kwani ulishindwa kutatua na kwa wengine wa maeneo hayo? au si ungem pm miss chaga tu angekujibu?
sawa kabisa Tuko ametuwekea link na picha yake ndio hiyo
ukivichemsha au kuvichoma vinakuwa vyeusi
ukivila vina unga mwingi mkavu (si vitamu km viazi vitamu) ila ni vizuri
Wewe una generalise wachaga wote waongo wakati mlikuwa mnaongea na mchaga mmoja...hivyo viazi vipo,viazi vikuu,labda hujawahi kuviona alafu una conclude ushuzi ushuzi bila research,we utakuwa kiazi pia!