WACHAGA WAAIBIKA LEO Tbc

WACHAGA WAAIBIKA LEO Tbc

Status
Not open for further replies.
kwa walioangalia tbc1 leo, yaani ilikuwa aibu. wachaga wanaokataa kila siku kuwa mwisho wa mwaka huwa wanaenda kutambika, leo tbc1 imeonyesha wakiwahoji walioko kule wakila kisusio, na wakisema wazi kuwa usipoenda kwenye matambiko matatizo yatakupata. wanasema wamekuwa na desturi hiyo miaka yote na hawawezi kuacha. kwa walioangalia tbc leo ilikuwa aibu jamani. kumbe huwa wanaenda kutambika na usipotambika kula ivyo visusio wanasema hata ukishika hela haikai. haya sasa. kwa wale waandishi wa habari au watu waliorekodi wakati tv inaongea naombeni muweke ile clip hapa ili shetani wa mamizimu aaibike.
Pambaf ..
 
Wazungu wanasali makanisani, waarabu misikitini, Wachaga wanatambika Moshi, Tatizo liko wapi?
 
Asa aibu iko wapi mbona hizi dini zimekuja juzi tu na saivi kuna hadi maaskofu mashoga sasa unashangaa nn kutambika wanaoliwa tigo huoni tatizo

Bora wewe umekubali yaishe mangi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom