Wachaga, bar sio sehemu ya kuweka vikao vya misiba

Status
Not open for further replies.
Hujatoa ushauri wafanyie wapi Vikao
 
Umekaa kabisa ukaanza ku compose post ya kupost jf, post yenyewe unaeaongelea wachagaπŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Sio hospital zote zina hiyo sehemu
 
Ni ngumu kufanya kitu kikamfurahisha kila mtu, kila mtu ana jukumu la kujipangia kile anacho ona kina mfaa na kina manufaa kwake, so wewe fanya yanayo kuhusu kwasababu bar ni sehemu ina weza kutanisha watu wa aina mbalimbali kwa mambo mbali mbali so usikere watu kama wazo lao la kutaka kukutana bar halija endana na lako. wewe fanya yale yanayo kupendeza hayo mengine achana nayo bar zipo nyingi mjini hamia nyingine kwisha.
 
Nyumbani kwao huko

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
kama nyumba haina eneo la kutosha kuweka watu wafanya mipango yao? Mkuu kuwa makini kama kweli uko kwenye jiji la Dar pilika pilika za kila siku za maisha una zijuwa, kitendo cha kwenda kuweka msiba kichochoroni kwenye nyumba za kupanga, garama za chakula, chai , viti, mziki, torubali ana beba nani? hapo hujaweka jeneza, sanda, usafiri bill za hospital. Huko nyumbani vyombo, viti na maturubali ya watu bado vilindwe hizo garama za nini zote? hiyo hela bora ibaki kwenye familia iwasaidie mambo mengine. tusipende fanya vitu kwa kukariri maisha yana badilika mambo ya kuweka misiba nyumba siku tatu ni huko vijijini hapa mjini ni kazi tu
 
Swala ni kwamba kitu kama msiba kipo emotional sana sasa unakuwa na ujasiri gani kwenda kufanyia kikao sehemu yenye anasa kama bar?

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
Tatizo hawawezi kuongea bila kunywa pombe
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…