Wachache wanaoweza hii style

The same to me.
Niliwahi kuwa na mwanamke muongo, ananiambia hiki badae hivi..anasahau alishaniambia kumbe yote uongo tu. Lakini nilikuwa na mwitikia na kumkubalia tu ili asijisikie vibaya.

Hadi tulipoachana, sikuwahi kumwambia wewe ni muongo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siwezi kuvumilia....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nilivyoona kichwa cha uzi kinavyosomeka nikasema mambo yetu yale au inakuwaje, kumbe ujumbe murua kabisa
 
Wanaume huwa hatushindwi kulivumilia jambo. Angekuwa mwanamke asingeweza kumvumilia mwanaume. Mathalani wanaume tunavumilia wanawake maziwa yao yakilala, lakini ngoja lilale dushe hadi watoto wadogo watajua kuwa jamaa jogoo hawiki
Bora yetu yanalala kwa kunyonyesha nyie kwanini mushindwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…