Wacha weee..

Halafu wameshika mashine za ukweli..... hivi kwanini askari wetu wa kike huwa hawashiki silaha? Au nyie mlishawahi kuona?
 
Yaani wa kwetu wangekuwa hivi mimi kila siku ni kuandamana tu nakuvunja sheria kwa sanaaa ili waje kunizuia. Hadi raha!
 
Yaani wa kwetu wangekuwa hivi mimi kila siku ni kuandamana tu nakuvunja sheria kwa sanaaa ili waje kunizuia. Hadi raha!

Wanakuzuia kwa kipigo sio kwa kukuchekea chekea oohh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…