wacha alikiba abaki kuwa king....

wacha alikiba abaki kuwa king....

johnsonmgaya

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
2,818
Reaction score
3,731
Namani mziki wetu uendee mbele zaidi lakini tuwe na identity tofauti tofauti,
Sisi tunawajua lakini huko mnakokumbilia hamjulikani
Sasa badala ya kujitambulisha identity yako ujulikane nyie manaanza tena kuigana igana
Mara sauti
Mara melody
Mara mashairi
Mara mavazi
Mara hairstyle
Sasa kipi ni kipi? unafikiri hata hzo shows mnazozitaka za nje watawaiteni wote ikiwa mnaigana? hata kama mm ni promOta nitEndelea kumuitA huyo mnaemuiga maana ndo role modal wenu
Yanini niwapeleka makafanye show ikiwa manafanana kila kitu? gharama zote za nini.....

Leo hii kuna salome nne kisa tu fulani aliimba akapata headline mmeamua woootee mchambue karanga dah,!
d9ee6a081e961bd2b2f66980ba97e2d1.jpg
c0fdf0f4449dd1ce2390a266aca6a5aa.jpg
b09e389f04cd31cba998264272d20841.jpg

leo hii kila mtu anajifanya anamjua sana saida wakati nyimbo Ipo tangu hamjaanza kuimba kama uliku inspire kwann leo ndo unaufanyia remix au kwakuwa fulani ameimba? kwa style hyo mtampita mafanikio yake, ikiwa still mpo nyuma yake hamtaki hata kumzidi ncha moja ktk safari hamna tofauti na bata na vifaranga wake,,
07a8094152f150728ccadf480965489b.jpg
2b83ccdcb0a48ee7816da317cfd41c12.jpg
7c1ea6490668ea0111232066f8d45c29.jpg
c477b587b2a72fc53f847e14f8db3443.jpg

Go on kiba tupo nyuma yako wanakupiga vita ila watakupigia magoti siku wakijua utuuzima dawa
8391b1c295584f164d364f9b4ddb2482.jpg
 
Kimasomaso mwanangu msimuone 'masooo'. Hii Remix ya nani vile?[emoji2]
 
Nilitegemea hili swali,
sijamlaumu diamond kufanya rmx ila nawalaumu hawa wanaokuja tena nyuma na kitu hicho hicho . Au hujasoma vizuri hapo juu? ebu pitia tena
 
Yule dogo wake aliyekamatwa kwa kutukana mitandaoni kamuwekea dhamana?,nasikia alikuwa anafanya kazi kwa maelekezo ya Kiba...
 
Haya wanaume wa huko njooni hapa mbishanie kuhusu wanaume wenzenu.
 
Namani mziki wetu uendee mbele zaidi lakini tuwe na identity tofauti tofauti,
Sisi tunawajua lakini huko mnakokumbilia hamjulikani
Sasa badala ya kujitambulisha identity yako ujulikane nyie manaanza tena kuigana igana
Mara sauti
Mara melody
Mara mashairi
Mara mavazi
Mara hairstyle
Sasa kipi ni kipi? unafikiri hata hzo shows mnazozitaka za nje watawaiteni wote ikiwa mnaigana? hata kama mm ni promOta nitEndelea kumuitA huyo mnaemuiga maana ndo role modal wenu
Yanini niwapeleka makafanye show ikiwa manafanana kila kitu? gharama zote za nini.....

Leo hii kuna salome nne kisa tu fulani aliimba akapata headline mmeamua woootee mchambue karanga dah,!
d9ee6a081e961bd2b2f66980ba97e2d1.jpg
c0fdf0f4449dd1ce2390a266aca6a5aa.jpg
b09e389f04cd31cba998264272d20841.jpg

leo hii kila mtu anajifanya anamjua sana saida wakati nyimbo Ipo tangu hamjaanza kuimba kama uliku inspire kwann leo ndo unaufanyia remix au kwakuwa fulani ameimba? kwa style hyo mtampita mafanikio yake, ikiwa still mpo nyuma yake hamtaki hata kumzidi ncha moja ktk safari hamna tofauti na bata na vifaranga wake,,
07a8094152f150728ccadf480965489b.jpg
2b83ccdcb0a48ee7816da317cfd41c12.jpg
7c1ea6490668ea0111232066f8d45c29.jpg
c477b587b2a72fc53f847e14f8db3443.jpg

Go on kiba tupo nyuma yako wanakupiga vita ila watakupigia magoti siku wakijua utuuzima dawa
8391b1c295584f164d364f9b4ddb2482.jpg
Shule mnafungua lini???
 
Back
Top Bottom