Wabunge zaidi ya 200 wafungwa macho

Wabunge zaidi ya 200 wafungwa macho

KIBOGOYO2010

Member
Joined
Jan 25, 2012
Posts
5
Reaction score
12
kwa hali ya kawaida haingii akilini kujadili mkataba wa vijana bungeni wakati vijana wenyewe wanakufa kwa sababu ya migomo wa wafanyakazi wa secta ya afya, wabunge msifungwe macho na spika kesho msikubali kujadili chochote bila kujua mstakabali wa wapiga kura wenu. uuuuuuuuuuuwwweeeeeeeeeee tunakufaaaaaaaaaaaaa
 
Kitu ambacho hawawezi kamwe kusahau ni kusaini sitting allowance.
Hawalipwi alowance ya kusimamia maslahi ya taifa. ingekuwa hivyo leo siku ya pili bunge limeisha wananhi wanakufa.
Kuna vipaombele.
 
Back
Top Bottom