Matanzia kizebazeba
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 654
- 630
Toka uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 upite wabunge wateule hawaonekani majimboni kwao kusikiliza na kutatua kero za wananchi wao kama wawakilishi wetu.
Ukizungumza na wananchi wengi ukawauliza mbunge wenu mara ya mwisho umemuona lini hana majibu sahihi.
Wengi wamekua wakionekana majimboni kukiwa na ziara ya viongozi, je wako wapi maana tunatambua Bunge likisitishwa (kuhahirishwa) kuna muda wa mapumziko mbali na kufanya kazi za kamati za Bunge.
Si wabunge wa Upinzani si wabunge wa Chama tawala wote Majimboni hawapo ukiachilia wale ambao ni wateule wa uwaziri/unaibu waziri wengi wao majimboni kwao hawapo kufanya shughuli na wananchi wao ,je wako wapi??
Tuanze kwa kutaja majimbo na kuuliza mbunge yuko wapi jimboni kwako anataka nani amfanyie kazi iwapi harudi.