Yani kama mtu halali bungeni anaonekana hana nidhamu? Dah! haya sasa cdm mkitaka kuonekana mna nidhamu muanze kulala na kuto changia na kila kitu mseme ndiyooo hapa mtasalimika
Mnawaonea Bure wazee wa watu! Niambie kati ya hao nani ana miaka chini ya 40? Tatizo hapa ni uzee, watu wamechoka. Wamechoka kwa uzee lakini nasikia wanapiga mikasi kwa kasi pia wanashutumiana kwa kupiga misuba; kwa umri wao unategemea nini? Tano bora lazima!
Ila katika wote hao, pozi la Mr. 6 ndo limetulia. Ukimcheki vizuri huo mkono wake wa kulia unagonga meza. Kwa hiyo jamaa yuko makini, japo amejipumzisha lakini hasahau kugonga meza.
Sio ajabu kama unavyofikiria. Unaweza kutazama TV,ukasinzia bila kufahamu.[na ukaiacha TV inaendelea]. Unaweza kusoma,ghafla ukalala. It is caused by concentration on some difficult to understand thing.