Wabunge watoka nje ya Bunge Zungu anaendesha Bunge kibabe Lema ainuka na kusema analo jina la ofisa aliyeshiriki mauaji

Lakini watu wengine wazushi sana, sasa Polisi ipo, tena kwa Lema ndio anapajuwa vizuri, awakilishe kwa maandishi, akiwa na na wakili wake, kama shahidi, ila sababu ya kutafuta kiki na watu waonekane wabaya anaamuwa kuwakilisha ushahidi bungeni?! Inaingia kweli akilini?!
 
Inauma sana lkn ukitoka wao wanashangilia. Bora wangebaki tu humo wapige kelele mpaka kikao kishindwe kufanyika.
 
w
Ndugai...Tulia..
sasa ni Zungu!
Hawa jamaa wa Chadema wameishiwa hoja sana
wwe ndio unahoja leo wazungu wamekuwa wa kulambwa miguu kesho ukiulizwa zilipo 1.5 trilion uabana pua na kuwaita mabeberu? punguani?
 
Lakini watu wengine wazushi sana, sasa Polisi ipo, tena kwa Lema ndio anapajuwa vizuri, awakilishe kwa maandishi, akiwa na na wakili wake, kama shahidi, ila sababu ya kutafuta kiki na watu waonekane wabaya anaamuwa kuwakilisha ushahidi bungeni?! Inaingia kweli akilini?!
Ni vema akawasilisha hilo jina bungeni ili msije mshtaki! Kwa maana hamchelewi kumgeuzia kibao!!
 
Back
Top Bottom