Kufanya mikutano ya kisiasa ndani ya vyuo, hii ni sahihi kabisa ipigwe marufuku ili kuondoa mivutano isiyo na msingi na uhasama kati ya wanachuo. Lakini hii haina maana wanachuo wasishiriki mambo ya siasa as individuals. Mwanachuo vilevile asizuiwe kushiriki katika shughuri za chama chake pale ambapo haitaathiri program zake za masomo. Vyuo sio sehemu ya wanafunzi, pale pana wanachuo, ambao waweza kuwa wafanyakazi, wafanya biashara, wakulima, nk.