Wazeee, ueshimiwa kazi kweli kweli, hadi sasa awaaamini kama kura za maoni zimewamwaga japo waligawa rushwa za kutosha
source:HabariLeo | Wabunge waliobwagwa wapo Dodoma
source:HabariLeo | Wabunge waliobwagwa wapo Dodoma
.Baada ya kuangukia pua wengine bado wana ndoto ya kuteuliwa kwa gharama yeyote. Pengine wapo dodoma ili wajumbe wa CC na NEC ya CCM wakiwaona watawaonea huruma baada ya kufilisika kwa kuhonga bila mafanikio ya kuchaguliwa.