djcastlelite
Senior Member
- Mar 8, 2014
- 159
- 21
Dodoma. Wabunge walio wengi wamekosa hoja na badala yake wamebaki wakimkosoa warioba na kungangania mfumo wa serekali mbili bila kutoa hoja nzito ni kwa nini wanakataa mfumo wa serekali tatu,mmoja wa wabunge wa kundi la walio wengi wamesema kuwa wanaongangania mfumo wa serekali tatu wanapigania madara, wasomi wengi na watalamu wamesema hizo ni propaganda kuwa serekali tatu zinaongeza garama, watalamu wameenda mbali zaidi na kubaini serekali tatu zitapunguza garama kwa kuwa serekali itakua na mawaziri kumi na tano tu na wabunge sabini peke yake hamsin kutoka tanganika na ishirini kutoka zanzibar