Nae ametuchosha huyo na huo upuuzi wake, kila kitu uislam hatuckii lingine....... mbona wengi tu tunapishana nao kwny mabaa wanapiga bia kama kawaida kipindi cha mwezi wanaouita mtukufu, na ndio kipindi ambacho pia wauza nyama ya kitimoto wanalalamika kwamba biashara huwa inadorola sana..... hapo walaji wakuu huwa ni kina nani kwa picha ya harakaharaka tu....... acha upuuzi ndugu dini zote zinamuomba na kumuabudu Mungu hakuna cha dini ya haki wala nini