Wabunge wanafiki sana hapo mnajifanya kupinga lkn siku ya kupitisha bajeti ambayo mnajua na kuamini kwamba haifai siku hiyo mtasema ndiyo,hivi huwa mnafikiria kwamba mnakomoa wapinzani kumbe mnatukomoa wananchi..zungu unadai kuwa kilimo kwanza ni mradi wa watu fulani wakisema chadema mnasema ni wachochezi...kumbe wabunge wa ccm mnafahamu kuwa watu fulani wana miradi ndani ya serikali!!
watajiju na wafadhili wameshaanza kujitoa kwenye bajeti yenu hadi mtie adabu