Wabunge wa viti maalum wasiwe mawaziri

Jabman

JF-Expert Member
Jul 27, 2016
1,005
1,337
Hii ni kwa sababu hawana uchungu na wapiga kura. Tofauti na wabunge wa kuteuliwa na rais ambao wanakuwa vetted, wabunge wa viti maalum hawafanyi kazi za umma bali chama na watu wanaohusika na teuzi za viti maalum.

Tunaona utumishi wa umma unavyodorora sababu ya waziri asiye na uchungu wa nchi yetu. Huyu mama hana jipya. Watumishi wamejawa hasira kwa uhakiki usioisha. Ajira hakuna, hakuna kupanda madaraja.
 
Sio tu wasiwe mawaziri bali kusiwepo kabisa hawa wabunge wala madiwani wa viti maalu, wa kuchaguliwa wanatosha kujaza watu wasio na sababu ni upuuzi na matumizi mabaya ya pesa zetu.
 
Back
Top Bottom