Mpira wa kona
JF-Expert Member
- Nov 25, 2016
- 350
- 338
Napenda kuwajibu wale wasioelewa kuwa siasa ni mchezo wa kupokezana vijiti. Hivi sasa CCM ndio chama tawala , wabunge wake hawana sababu ya kulalamika wabunge wa vyama vingine ambao ni upinzani in lazima walalamike Na sio hiari.
Siku CCM itakapokuwa sio chama tawala kitakuwa upinzani nao watalalamika kama wapinzani wa sasa wanavyolalamika. Hivyo Upinzani kulalamika ni haki yao sio kosa tusiwabeze ndio siasa itakavyo.
Siku CCM itakapokuwa sio chama tawala kitakuwa upinzani nao watalalamika kama wapinzani wa sasa wanavyolalamika. Hivyo Upinzani kulalamika ni haki yao sio kosa tusiwabeze ndio siasa itakavyo.