Wabunge wa upinzani acheni kutetea matumbo yenu muwapo bungeni

May 22, 2016
63
59
WABUNGE WA UPINZANI ACHENI KUTETEA MATUMBO YENU MUWAPO BUNGENI.

Msimamo wa Kambi Rasmi ya Watetea Majipu Bungeni ni Hatari sana kwa Maendeleo ya Watanzania.Wala haihitaji kuwa na degree kujua wanachofanya wabunge wa upinzani kwa sasa ni kutetea matumbo yao nasio maslahi ya watanzania, upinzani wa sasa unatia aibu sana maana wamekuwa vinara wa kutetea WEZI,VIBAKA, MAFISADI, WATUMISHI WAZEMBE, WAPIGA DILI na WAHUJUMU UCHUMI.

Wakati serikali inayoongozwa na Jemadari na Amri jeshi mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Dkt Magufuli ilikipambana na Watendaji ambao wamelihujumu taifa letu kutokana na utendaji wao mbovu, rushwa na ufisadi,Genge la Wabunge wachumia tumbo linalopigania maslahi ya Mafisadi nasio maslahi ya umma wa Watanzania limekuwa likifanya kila mbinu ili kuikwamisha serikali katika Vita dhidi ya Ufisadi na Utendaji mbovu wa mazoea kwa watumishi wa serikali.

Suala la Wapinzani kuendelea kutetea watu waovu ni kiashiria kwamba na wao ni Majipu ambayo yanatakiwa kutumbuliwa, kama kweli wapo committed kwa Wananchi hawapaswi kuwatetea watu ambao wanalihujumu taifa letu, kwa sababu walipitishwa kwa nguvu ya Mafisadi ni dhahiri wanachokifanya wabunge wa upinzani Bungeni nikujaribu kurudisha fadhila kwa wafadhili wao, Ikumbukwe kuwa kabla ya Fisadi Lowassa na genge la mafisadi kuhamia Upinzani, upinzani wa leo ulikuwa against Corruption na haya yanayofanywa na Magufuli ndio walikuwa wanayasema kwa sana.

Kitu cha ajabu baada ya Fisadi Lowassa kuhamia huko Upinzani nakununua SACCOS ya CHADEMA na Washirika zake yaani CUF, NCCR-MAGEUZI na NLD wamegeuka nakuwa Misukule ya Boss wao ambaye ni Miongoni mwa Mafisadi wakubwa ambao wao wenyewe waliwaweka katika List of Shame 2008 na kuwataja katika mkutano wa hadhara uliofanyika Mwembeyanga Dar 2008.

Wanachokifanya wabunge wa upinzani Bungeni ni kwamba wanajitahidi kumridhisha Boss wao Lowassa aliyehamia huko kwa Makusudi ili wamsafishe, Ikumbukwe kuwa Lowassa ndio aliyekuwa mfadhili mkuu wa Ukawa katika kipindi cha Uchaguzi mkuu wa mwaka jana na kila Mbunge wa Upinzani alipata fedha kwa ajiri ya Kampeni. Kwa kifupi ni kwamba Wabunge wa upinzani wanakula Matapishi yao kwa kutetea Majipu.

Sikuzote huwa nasema kuendelea kuwa Mpinzani katika awamu hii inahitaji uwe na mtindio wa ubongo (ukichaa), kama unaakiri zako timamu huwezi kuwa sehemu ya kutetea Mafisadi na wazembe kama wanavyofanya Wapinzani.

WABAKAJI WA DEMOKRASIA NDIO WANATAKA DEMOKRASIA,,,,,,HIVI WABUNGE WA UPINZANI WANAELEWA MAANA YA DEMOKRASIA?.

Na Abel Magembe Lugimba

Tanzania ni nchi ambayo inaendeshwa Kidemokrasia ndio maana kila baada ya miaka mitano huwa tunafanya Uchaguzi katika ngazi mbalimbali za uongozi.Ninawashangaa wabunge wa upinzani kwa kuendelea kupotosha umma kwa Katika nchi yetu Demokrasia hakuna, hivi Bila kuwepo Demokrasia wangepata Ubunge?. Wabunge wa upinzani ni watu wanafiki sana kwa sababu haiwezekani uchaguliwe na wananchi kidemokrasia halafu baadaye useme hakuna demokrasia hapa maana yake ni kwamba hata wewe unajikana hakupatikana kwa njia ya Demokrasia.

Uhuru wa kutoa maoni (kuzungumza) ni moja ya nguzo za Demokrasia, lakini ninawashangaa sana wabunge wa upinzani kutumia haki hii ya kikatiba kutukana ovyo na kupotosha umma katika masuala yanayohusu mustakabali wa taifa letu. Hivi pangekuwa hamna Demokrasia Tanzania Wapinzani wangeweza kusimamia hadharani kuitukana na kuikosoa serikali yetu?.Mara kadhaa Wapinzani wamekuwa wanamtukana Rais wetu kupitia Bunge, mikutano ya hadhara na kwenye vyombo vya habari lakini kwa sababu anamheshimu demokrasia japo wenzetu wanatumia demokrasia vibaya sana,Rais wetu amekuwa Muungwa sana kwani amekuwa anawachukulia kama watoto waliopo katika umri wa kubalehe.

Suala la Demokrasia ni Jambo pana sana kwa hiyo Wapinzani wanapokuwa wanalalamika kwamba Nchi yetu haiendeshwi kidemokrasia hawana budi kuzungumzia demokrasia ndani ya vyama vyao kwanza.Kila mtanzania anajua katika vyama vya upinzani ndio wanaongoza kwa ukiukwaji mkubwa wa Demokrasia.. Katika vyama hivi mfano CHADEMA wagombea wa nafasi mbalimbali wamekuwa hawatokani kwa njia ya Demokrasia kuanzia chini hadi juu. Katika suala hili naomba nitoe mifano halisi, mchakato wa kuwapata wabunge wa viti maalum CHADEMA umekuwa haufuati demokrasia kwani pamoja na wanachama katika mikoa kuwapendekeza na kuwachagua wabunge wanaowataka lakini Viongozi wa Juu kitaifa wamekuwa wanawapelekea Mahawala zao na ndugu zao kuwa ndio wabunge wa viti maalum katika mikoa hiyo kwa hiyo sifa kuu kwa wanawake waliopo CHADEMA ili awe mbunge wa viti maalum imekuwa ni lazima wawe mahawala wa viongozi wa juu wa Chadema. Je hii ni demokrasia?, hata katika mchakato wa kuwapata wagombea mbalimbali wa ubunge, udiwani na Urais hali imekua mbaya sana kama mtu hajuani na Mbowe ni vigumu jina lake kupitishwa na Kamati kuu kama mgombea wa kiti cha ubunge katika jimbo, kwa upande wa wakina mama mahusiano ya kimapenzi na vigogo wa CHADEMA hii ndio imekuwa sifa kuu ya kupitishwa katika kinyang'anyiro cha Ubunge ndani ya chama.. Yapo mambo mengi ambayo wamekuwa wakifanya bila kufua demokrasia mfano mwingine ni upatikanaji wa mgombea wa Urais umekuwa sio wa kidemokrasia kabsa kabla Lowassa hajahamia Chadema mgombea urais alikuwa ni Dkt Slaa lakini baada ya Chadema kubinafsishwa kwa Edward Lowassa mambo yakabadilika ghafla, Kamati Kuu ya Chadema ikampitisha pekee yake Lowassa kama mgombea wa nafasi ya Urais huku wanachama wengine ambao walikuwa wameshatangaza nia kugombea kiti hicho wakatimuliwa kwenye chama na kuitwa wasaliti na wengine kwa hiari yao wakaamua kustaafu siasa kama Dkt Slaa.

Kiongozi wa Kambi Rasmi ya upinzani bungeni ninaomba atoke hadharani nakuwaambia Watanzania ni lini amechaguliwa kihalali na kidemokrasia kuongoza chama chake?, katika kumbukumbu zangu zinaonyesha kwamba kila mwanachama wa Chadema anayetangaza nia ya kugombea uwenyekiti wa Chadema taifa huishia kufukuzwa uanachama huku wengine wakipoteza maisha, Marehemu Chacha Wangwe na Zitto Kabwe ni mifano halisi katika suala hili na hapa kila Mtanzania analijua hilo.Katika mchakato wa kumpata Katibu mkuu wa CHADEMA ilitakiwa siku ya mkutano mkuu wa Baraza kuu la CHADEMA Taifa mwenyekiti wa Chadema angeenda na majina matatu ya watu waliopendekezwa katika nafasi ya Ukatibu mkuu kwa mujibu wa katiba ya Chadema, lakini katika hali ya kushangaza Mbowe aliibuka siku ile na Jina la mtu mmoja tu huku akiwachimba mkwara mkali wajumbe wa mkutano huo kwamba ambaye hatakubali maamuzi hayo atafukuzwa uanachama matoke yake ni kwamba mtu huyo ambaye aliyependekezwa na Mbowe alipitishwa hivyohivyo kwa kura za ndiyo zote, je hii ndiyo Demokrasia ya kweli au ni ubakaji wa Demokrasia?.

Mara nyingi kama taifa tumekuwa tunashuhudia Ubakaji wa Demokrasia unaofanyika ndani ya Vyama vya Upinzani nchini. Mimi najiuliza tu kwanini vyama vya upinzani nchini vinapata ufadhili mkubwa nje ya nchi kutoka katika nchi ambazo zimeshahalilisha ushoga pia zimekuwa zikitoa masharti magumu kwa nchi za Afrika kwamba ili zipate misaada kutoka katika nchi hizo hazina budi kuruhusu Ushoga..Serikali ya nchi yetu imekuwa kinyume na hizi sera mbovu zinazokiuka utamaduni wetu, hivi wapinzani wanaajenda gani nyuma nyuma ya pazia maana Demokrasia ambayo wanaililia ni ile Demokrasia ya mataifa ya Magharibi ambayo yanashinikiza ili nchi zetu za Afrika ziweze kupata misaada kwao ni lazima zikubali ushoga.Nadhani hii ndio itakuwa ajenda yao ya siri kwani wafadhili wao wamewabana wasipofanya hivyo watakata ufadhili, kwa hiyo haya mengine haya wanatumia kama kichaka tu But this is a main agenda for them. All in all ninawaomba watanzania wenzangu tuwapuuzeni hawa wabakaji wa Demokrasia.

Mwisho, Ninaomba wapinzani wajisahihishe maana nchi yetu inademokrasia yake haiwezi kufuata Demokrasia ya nchi za magharibi ambayo wao wanaipigania.Pia Viongozi wa vya Upinzani waache kubaka Demokrasia katika vyama vyao kipindi cha Uchaguzi wa ndani ya vyama vyao.

Wako,
Abel Magembe Lugimba, kutoka Rukwa-Tanzania.
 
WABUNGE WA UPINZANI ACHENI KUTETEA MATUMBO YENU MUWAPO BUNGENI.

Msimamo wa Kambi Rasmi ya Watetea Majipu Bungeni ni Hatari sana kwa Maendeleo ya Watanzania.Wala haihitaji kuwa na degree kujua wanachofanya wabunge wa upinzani kwa sasa ni kutetea matumbo yao nasio maslahi ya watanzania, upinzani wa sasa unatia aibu sana maana wamekuwa vinara wa kutetea WEZI,VIBAKA, MAFISADI, WATUMISHI WAZEMBE, WAPIGA DILI na WAHUJUMU UCHUMI.

Wakati serikali inayoongozwa na Jemadari na Amri jeshi mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Dkt Magufuli ilikipambana na Watendaji ambao wamelihujumu taifa letu kutokana na utendaji wao mbovu, rushwa na ufisadi,Genge la Wabunge wachumia tumbo linalopigania maslahi ya Mafisadi nasio maslahi ya umma wa Watanzania limekuwa likifanya kila mbinu ili kuikwamisha serikali katika Vita dhidi ya Ufisadi na Utendaji mbovu wa mazoea kwa watumishi wa serikali.

Suala la Wapinzani kuendelea kutetea watu waovu ni kiashiria kwamba na wao ni Majipu ambayo yanatakiwa kutumbuliwa, kama kweli wapo committed kwa Wananchi hawapaswi kuwatetea watu ambao wanalihujumu taifa letu, kwa sababu walipitishwa kwa nguvu ya Mafisadi ni dhahiri wanachokifanya wabunge wa upinzani Bungeni nikujaribu kurudisha fadhila kwa wafadhili wao, Ikumbukwe kuwa kabla ya Fisadi Lowassa na genge la mafisadi kuhamia Upinzani, upinzani wa leo ulikuwa against Corruption na haya yanayofanywa na Magufuli ndio walikuwa wanayasema kwa sana. Kitu cha ajabu baada ya Fisadi Lowassa kuhamia huko Upinzani nakununua SACCOS ya CHADEMA na Washirika zake yaani CUF, NCCR-MAGEUZI na NLD wamegeuka nakuwa Misukule ya Boss wao ambaye ni Miongoni mwa Mafisadi wakubwa ambao wao wenyewe waliwaweka katika List of Shame 2008 na kuwataja katika mkutano wa hadhara uliofanyika Mwembeyanga Dar 2008.Wanachokifanya wabunge wa upinzani Bungeni ni kwamba wanajitahidi kumridhisha Boss wao Lowassa aliyehamia huko kwa Makusudi ili wamsafishe, Ikumbukwe kuwa Lowassa ndio aliyekuwa mfadhili mkuu wa Ukawa katika kipindi cha Uchaguzi mkuu wa mwaka jana na kila Mbunge wa Upinzani alipata fedha kwa ajiri ya Kampeni. Kwa kifupi ni kwamba Wabunge wa upinzani wanakula Matapishi yao kwa kutetea Majipu.

Sikuzote huwa nasema kuendelea kuwa Mpinzani katika awamu hii inahitaji uwe na mtindio wa ubongo (ukichaa), kama unaakiri zako timamu huwezi kuwa sehemu ya kutetea Mafisadi na wazembe kama wanavyofanya Wapinzani.
Ila wale wanaotetea tuondoe sana ya askar wetu tuweke ya diamond ndo wanatetea maslahi ya umma? Akil n nywele kila mtu Ana zake. Naona Ile larger ya kutwangika imewashika wengi
 
CCM wangelikuwa hawatetei matumbo yao wasingeliikataa rasimu ya Katiba ya Warioba for sure
 
Hivi wewe jamaa una akili kweli? Vitu gani hivi unaandika humu? Hata kama ni elimu MULUGO lakini si hivi dah!
 
Ni vigumu Kunielewa watu ambao mmefanywa misukule wa Chadema na washirika wenzake.
mdogo wangu walioandika happ juu wote wamakisaidia! jitafakari what is your context? wanaona content isiyo na theme! umesomea nini?

Jifunze kuandika essays nzuri zenye theme inayoeleweka, try to learn bwana mdogp and further help while you are learning usinkosoe mtu until uko vizuri, hujaeleweka!
 
Hii inaitwa nitoke vp?Nimesoma mpaka mwisho walau nione mfano wa namna hao wabunge wa upinzani wanavyotetea mafisadi lakini sijaona hata kugusia kidogo zaidi ya porojo tu!
Kuigiza ujinga kipaji,sio kila mtu anaweza so hongera kwa hilo!Ila angalia ukikolea sana unakuwa zuzu mazima
 
Kajoin jana kwa kazi maalumu maana anafululiza threads, isije kuwa ndio aliyeoneshwa njia ya kutokea juzi
 
WABUNGE WA UPINZANI ACHENI KUTETEA MATUMBO YENU MUWAPO BUNGENI.

Msimamo wa Kambi Rasmi ya Watetea Majipu Bungeni ni Hatari sana kwa Maendeleo ya Watanzania.Wala haihitaji kuwa na degree kujua wanachofanya wabunge wa upinzani kwa sasa ni kutetea matumbo yao nasio maslahi ya watanzania, upinzani wa sasa unatia aibu sana maana wamekuwa vinara wa kutetea WEZI,VIBAKA, MAFISADI, WATUMISHI WAZEMBE, WAPIGA DILI na WAHUJUMU UCHUMI.

Wakati serikali inayoongozwa na Jemadari na Amri jeshi mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Dkt Magufuli ilikipambana na Watendaji ambao wamelihujumu taifa letu kutokana na utendaji wao mbovu, rushwa na ufisadi,Genge la Wabunge wachumia tumbo linalopigania maslahi ya Mafisadi nasio maslahi ya umma wa Watanzania limekuwa likifanya kila mbinu ili kuikwamisha serikali katika Vita dhidi ya Ufisadi na Utendaji mbovu wa mazoea kwa watumishi wa serikali.

Suala la Wapinzani kuendelea kutetea watu waovu ni kiashiria kwamba na wao ni Majipu ambayo yanatakiwa kutumbuliwa, kama kweli wapo committed kwa Wananchi hawapaswi kuwatetea watu ambao wanalihujumu taifa letu, kwa sababu walipitishwa kwa nguvu ya Mafisadi ni dhahiri wanachokifanya wabunge wa upinzani Bungeni nikujaribu kurudisha fadhila kwa wafadhili wao, Ikumbukwe kuwa kabla ya Fisadi Lowassa na genge la mafisadi kuhamia Upinzani, upinzani wa leo ulikuwa against Corruption na haya yanayofanywa na Magufuli ndio walikuwa wanayasema kwa sana. Kitu cha ajabu baada ya Fisadi Lowassa kuhamia huko Upinzani nakununua SACCOS ya CHADEMA na Washirika zake yaani CUF, NCCR-MAGEUZI na NLD wamegeuka nakuwa Misukule ya Boss wao ambaye ni Miongoni mwa Mafisadi wakubwa ambao wao wenyewe waliwaweka katika List of Shame 2008 na kuwataja katika mkutano wa hadhara uliofanyika Mwembeyanga Dar 2008.Wanachokifanya wabunge wa upinzani Bungeni ni kwamba wanajitahidi kumridhisha Boss wao Lowassa aliyehamia huko kwa Makusudi ili wamsafishe, Ikumbukwe kuwa Lowassa ndio aliyekuwa mfadhili mkuu wa Ukawa katika kipindi cha Uchaguzi mkuu wa mwaka jana na kila Mbunge wa Upinzani alipata fedha kwa ajiri ya Kampeni. Kwa kifupi ni kwamba Wabunge wa upinzani wanakula Matapishi yao kwa kutetea Majipu.

Sikuzote huwa nasema kuendelea kuwa Mpinzani katika awamu hii inahitaji uwe na mtindio wa ubongo (ukichaa), kama unaakiri zako timamu huwezi kuwa sehemu ya kutetea Mafisadi na wazembe kama wanavyofanya Wapinzani.

Siasa ndani ya tanzania kuna safari ndefu sna hasa ukiangalia uandishi wa vijana wa UVCCM mwenzio juliiana shonza katoka kuanzisha thread inayomhusu Lowasa.
tutajie hao wahujumu uchumi na watendaji wabovu waliotetewa na CHADEMA baada ya kufikishwa mahakamni CHADEMA ikaenda kuwakingua kifua?

hiv hizo mahakama zipo kwa ajili ya watu gani ikiwa Lowasa hajafikishwa huko? kuna kinga gani inayozuia hilo jambo?
kwa nn hamjikiti katika kujenga chama mmejaa JF kuoneza uongo na chuki hii inadhihirisha bado Lowasa ana nguvu kibwa ndani ya CCM japo hayupo.

mtawashawish vp watu kwa kila siku kumuongelea mtu mmoja unaandika hayo ya kukuita lowasa fisadi kumbuka BADO TANESCO INAENDELEA KUILIPIA IPTL. sasa kwa nn huu mkataba hauvunjwi ikiwa unajulikana umegubikwa na ufisad. Acheni kupigania uongozi kwa kutembelea nyota za watu toka kijana mwenzenu.

Ufisad bado upo tu na mpo kimya ESCROW hawa wahusika bado wapo CCM wakitoka mtaujua ufisad wao, LUGUMI, Alieagiza kuwasha na kuzima mita za upimaji mafuta bandarini unajua hasara ambayo taifa imelipata? kuna EPA, Meremeta. Hatuhalalishi ubaya kwa ubaya mmegundua lowasa ni fisad kwa nini hakamatwi? nani aliyezuia?.
 
Back
Top Bottom