Sababu??
Au umeota na kuhisia tu?
Support your conclusion with clear arguments.....
Kauli ya kipuuzi ya zzk kwamba mbunge yeyote wa majimbo ya Kigoma akitaka kutetea nafasi yake sharti ahamie act-zzk vinginevyo ubunge atausikia tu.Hii ni kauli ya dharau kwa watu wa Kigoma
Hahahaaaa mjomba unachekesha kwani ukawa Ni chama....sema wote hao wanne watarudi bungeni kupitiac chama cha nccr-mageuziAmini,amini nakuambieni wabunge hawa nitakao wataja majina yao kwenye orodha hapa chini watarudi bungeni kupitia ukawa,
1)Davdid kafulila
2mkosamal
3)machali
4)mama yetu agrpina
kwani nccr ipo ndani ya ccm?Hahahaaaa mjomba unachekesha kwani ukawa Ni chama....sema wote hao wanne watarudi bungeni kupitiac chama cha nccr-mageuzi
amini,amini nakuambieni wabunge hawa nitakao wataja majina yao kwenye orodha hapa chini watarudi bungeni kupitia ukawa,
1)davdid kafulila
2mkosamal
3)machali
4)mama yetu agrpina
watarudi ikiwa watafanyia kazi ushauri wa zito.
wewe ndo umeona n dharau yule ndo kiongoz wetu na habar ndo hiyo. Team wazalendo
jimbo la mkosamali nasikia ccm wanaanza kuwa na nguvu,wananchi wanataka kumkomoa mkosamali,kuna ukweli au uzushi wa zilipendwa za ccm?
nhiruhubusa una makengeza kama ya chenge kijana?
-hivi hujui mkosamali kwa muhambwe ni zaidi ya mbunge?
-siasa za kibondo c.c.m kushinda haita tokea tena maana kuna watu wamewekeza kama chama ni cha koo zao!
Nina kuapia tena na tena mkosamali atashinda uchaguzi wa mwaka 2015.
teh teh ni kiongozi wenu ninyi wasaliti na sio mkoa mzima wa kigoma.wewe ndo umeona n dharau yule ndo kiongoz wetu na habar ndo hiyo. team wazalendo