Mbunge wa Ubungo na Diwani wa kata ya Ubungo walikuwa nazo taharifa kabla ujenzi haujaanza na waliahidi wangelifuatilia.
nadhani ulimaanisha "taarifa".. kuwa makini,
Mbunge wa Ubungo na Diwani wa kata ya Ubungo walikuwa nazo taharifa kabla ujenzi haujaanza na waliahidi wangelifuatilia.
Leo wabunge wa mkoa wa DSM pamoja na mkurugenze mkuu wa NHC watafanya mkutano na wakazi wa Ubungo NHC. Wabunge hoa watataka kujua ujenzi unao endelea hapa ubungo kama umefata taratibu zote za ujenzi maana sasahivi ukipita katikati ya haya magorofa ni hatari tupu, vile vile wabunge watataka kufahamu kuusu uzwaji wa magorofa ya zamani maana mswada ulisha pitishwa bungeni tangu mwaka 2005 kama wakazi wa ubungo wauziwe izo nyumba. Wakazi wa ubungo NHC wamejikusanya kwa wingi wakiwasubiri wiongozi hao wafike ili kikao kianze. Kama Mchechu hakishindwa kujieleza vizuri, wabunge hao wamepanga kukwamisha majeti nzima ya wizara ya mama Tibaijuka!
yule kama una ongelea magorofa ya ubungo karibu na Ubungo plaza "shekilango/moro road" mbona yaliushauzwa kwa wapangaji?
DG kwa upande mmoja anastahili pongezi. Ningependa kumpa ushauri wa wa jinsi ya kuweza kuendeleza NHC.
- Angeacha kuvunja nyumba za zamani na kujenga mpya zenye ghorofa nyingi. Tanzania haina shida ya ardhi. NHC ikishirikiana na wizara mama, wangeanzisha miji mipya , iliyokuwa imepimwa vizuri kwenye maeneo kama Buyuni, Kigamboni, Boko. Majengo haya mapya yasizide ghorofa tano. Wajenge pia (kwenye haya maeneo mapya) facilities kama shule, hospital. Kujenga 14 floors building ina cost 30 billion tshs. Ukipeleka hizi kwenye maeneo mapya , alot will be done.
- Angefanya stock of what he has (land and majengo)
- Kama kubomoa na kujenga , afanye hivyo kwa uangalifu sana. Asiwafuate wahindi. Wale waliwahi. Kwa sasa hata wale waliyinunua nyumba , hawajapata tenants. Vilevile infrastructure haipo. DG pita mtaa wa MIndu usiku (saa mbili) kuangalia situation ikoje. Ziko nyumba nyingi katika stages mbalimbali za ujenzi. Can you compete?
- kama utabomoa , jenga nyumba zenye floor chache (max 5). Nina uhakika kuwa utapata soko kwa haraka zaidi
please nenda blck F, B, A magorofa ya zamani, vyumba kibao vishauzwa na unakuta wenyewe wameisha weka hata mageti, katikati ya corridorbdo: ndio ayo ninayo ongelea, yalio uzwa ni aya yanayo jengwa, yazamani bado hayajauzwa
eti wabunge kumbana DG...wanapoteza tu mda wao...the boy is clever and he knows what he's doing. in the next ten years National Housing watakua wana nyumba nzuri na za kisasa compared to miaka ya nyuma. Yule DG kabla ya mchechu alikua ovyo, alikua anasoma magazeti tu ofsini kwake...
Tatizo lako Wiliam Malecela unasifia tu hata bila kufuata logic ya hoja hata kama kuna total blundering.Kama kazi yako ya utarishi nje imechoka na kuamua kurudi kwa kisingisio cha kugombea ubunge wa EAC kwa ajili ya kuzuga tu tafadhali usiharibu maana na credit nzima ya jf.Endelea na kazi yako hiyo wajanja tunajua kazi yako ni nini.
Aisee-
Kila afanyaye wajibu wake vizuri kumbe anastahili apewe uwaziri?
LOOSER-
Tungepaa kuelekea chiloonwa, baba yako alishindiwa nini, una maana mdingi kichwa cha panzi sio!
hamuwezi kuifanyia lolote la maana tz.
sikutarajia ungefichua jinsi akili yako alivyo athiriwa na kuyumba kwa meli. kkhhhaaaa. . . . . . . . . . likupate hukohuko uliko . . . .phooooo!
Kuna tofauti kubwa sana kati ya mwili wako na uwezo wako wa kufikiri......