King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 51,929
- 69,213
Tunaomba mtusaidie hili,
Hii serikali inataka kupitisha sheria kwamba mwanachama wa mifuko ya hifadhi hatoweza kuchukua mafao yake mpaka hatimize miaka 60.
Hii kitu ni uonevu na dhuruma kwa wanachama na wategemezi wao(watanzania) kwa ujumla,mafao nakatwa mie iweje unaniladhimisha yaje kunisaidi nikifika miaka 60?
Kuna mtanzania wa sasa ambaye ana uhakika wa kuishi zaidi ya miaka 50? CHADEMA tunaomba mlisimamie hili lisipitishwe sisi huku mtaani tutawelimisha wananchi waone serikali yao inavyofanya.
Tuitose hii serikali ya mabwepande maana haina uchungu kwa wananchi wake wanajali mamitambi yao tu.
Nawasilisha