Huyu jamaa huwa namdharau sana, lakini kwa kauli yake ya kuunga mkono hoja baada ya kutoa malalamiko yale yote nimeacha kabisa kumdharau, nimemweka kwenye kundi la wafu yaani nimemfuta miongoni mwa watu wanaoishi duniani maana ameshakufa ubongo.Mwigulu Nchemba (CCM, Iramba Magharibi)
"Nimeuza VX langu ili kuchimba visima Iramba."
"Wanawake wanatoka saa mbili usiku kwenda kuchota maji, wanarudi saa kumi, ili kukwepa joto."
"Mabwawa ya maji yaliyochimbwa yamejaa mchanga."
"Hata mashine za ku pump na mkono zinatushinda Mheshimiwa Waziri?"
"Naunga mkono hoja."
Mwigulu Nchemba (CCM, Iramba Magharibi)
"Nimeuza VX langu ili kuchimba visima Iramba."
"Wanawake wanatoka saa mbili usiku kwenda kuchota maji, wanarudi saa kumi, ili kukwepa joto."
jiulize na pesa za mfuko wa jimbo huwa anapeleka wapi?
Huyyu jamaa ashajistukia watu wanampuuza so anatafuta namna ya kujiweka pazuri wakati jua lishazama.
"Mabwawa ya maji yaliyochimbwa yamejaa mchanga."
"Hata mashine za ku pump na mkono zinatushinda Mheshimiwa Waziri?"
"Naunga mkono hoja."
Wanakuwa wanafiki!!.