Wabunge wa CCM wanaomba No reform No election kwa Siri na Kujificha

Madumbikaya

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2018
Posts
734
Reaction score
2,271
Sauti ya Tundu lisu ya kudai mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi ili kura ya mwananchi iwe na thamani ina mshindo mkuu ,

Kwa ushahidi,Pitia akaunti ya Jamiiforums ya Facebook usome maoni pale wanapohabarisha habari za Tundu lisu na Fuatilia ukimya wa wabunge bungeni kwenye bunge lililokuwa linaendelea

Kosa kubwa ambalo ccm walikosea ni maamuzi ya kuwalazimisha wana ccm kuwapa viongozi wa mitaa wasiowataka na ambao hawawapendi ndio wana ccm wakatambua kuwa hakuna maana ya uchaguzi kama mwenyekiti tu wa mtaa wanalazimishwa yule wasiemtaka wala kumpenda,

Kwa mujibu wa wana ccm wenyewe Uongozi wa mitaa watu wanachagua mtu wampendae na sio chama ,Watu huangalia busara za muhusika,ucheshi na uwezo wa kufikika kirahisi

Uchunguzi unaoyesha chochote kitakachoandikwa mtandaoni chenye kinyume na mabadiliko anayoyadai Tundu lisu kuhusu uchaguzi kupoteza maana wananchi wameamka na kumuunga mkono

Platform zote iwe Facebook,Instagram na Tweeter watu wanadai mabadiliko au reforms na wakiongozwa na wabunge wa ccm wenyewe ambao wanaomba kura zihesabiwe kwa haki na wala wasiongezewe

Platform ya Jamii forum Facebook imeonyesha hasira kali za wananchi juu ya mamlaka kwenye maoni

Kwa kujiridhisha unaweza ukasoma maoni ya platform ya jamii forums facebook kuhusu kukamatwa kwa Tundu lisu au ile ya kuhamishwa gereza iliyokanushwa na msemaji wa magereza inaonyesha mwamko upya wa uelewa kwa wana ccm wenyewe wote wanadai mabadiliko

Mambo sio shwari tena hata ndani ya ccm,Makundi yaliyoenguliwa ubunge wakati wa uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 wengi walikuwa Team Emanuel Nchimbi(Team lowasa) na Team Bernard Membe .Hawa ndio ccm asilia au ccm ina wenyewe na sasa ndio wana maamuzi ya nani awe mbunge

Team lowasa na Team Membe ilibakiza wabunge wachache sana uchaguzi wa 2020 na hawa ni wale waliomba msamaha na kumpigia magoti hayati Magufuli

Kundi kubwa la wabunge waliopo bungeni walipitishwa kwa nguvu na hila kupitia kundi la akina Bashiru Ally ambalo liliamini kuiangamiza ccm asilia iliyokuwa inaundwa na Team lowasa pamoja na Team Membe

Haya makundi yote ya Team Lowasa na Membe ni kundi moja na marafiki sana linapokuja suala la kupeana vyeo na kukumbukana kwenye kutafuna asali ya Taifa . Wanatofautiana tu ni nani ashike Mamlaka ya juu ya nchi yaani Rais,Spika na Waziri mkuu

Emmanuel Nchimbi kwa sasa ndie mshika Mpini na katibu mkuu wa CCM taifa na tayari ameonyesha nguvu zake kwa kumptisha Rais Samia Suluhu Hassan kama mgombea urais wa mwaka 2025 bila mwanachama yeyote kuhoji kutoka kundi la ccm wakuja

Team lowasa ikiongozwa na Kimbisa na Kibajaji kwenye vikao vya ccm mwaka huu walilazimisha hoja yao ya Rais Samia Hassan awe mgombea urais wa mwaka 2025 na wote waliufyata

Ni dhahiri hakuna mbunge hata mmoja wa ccm waliopo bungeni sasa anayeweza kupinga No reform no election isipokuwa wale wachache ambao ni Team Nchimbi kama Simba Chawene,Kibajaji na Musukuma ambao mshika Mpini ni mtu wao na watapita tu ubunge

Uchunguzi unaonyesha asilimia 90% ya wabunge waliopo bungeni hawatarudi bungeni na hao ndio wanahitaji No reform no election kuliko muda wowote ule

Wana ccm wenyewe huku mitaani ndio wanaongoza kusukuma mabadiliko yanayodaiwa na Tundu lisu kutokana na kuwawekea wenye viti wa mtaa wasiowapenda
 
Sauti ya Tundu lisu ya kudai mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi ili kura ya mwananchi iwe na thamani ina mshindo mkuu ,

Kosa kubwa ambalo ccm walikosea ni maamuzi ya kuwalazimisha wana ccm kuwapa viongozi wa mitaa wasiowataka na ambao hawawapendi ,

Kwa mujubu wa wana ccm wenyewe Uongozi wa mitaa watu wanachagua mtu wampendae na sio chama ,Watu huangalia busara za muhusika,ucheshi na uwezo wa kufikika kirahisi

Uchunguzi unaoyesha chochote kitakachoandikwa mtandaoni chenye kinyume na mabadiliko anayoyadai Tundu lisu kuhusu uchaguzi kupoteza maana wananchi wameamka na kumuunga mkono

Platform zote iwe Facebook,Instagram na Tweeter watu wanadai mabadiliko au reforms na wakiongozwa na wabunge wa ccm wenyewe ambao wanaomba kura zihesabiwe kwa haki na wala wasiongezewe

Mambo sio shwari tena hata ndani ya ccm,Makundi yaliyoenguliwa ubunge wakati wa uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 wengi walikuwa Team Emanuel Nchimbi(Team lowasa) na Team Bernard Membe .Hawa ndio ccm asilia au ccm ina wenyewe na sasa ndio wana maamuzi ya nani awe mbunge

Team lowasa na Team Membe ilibakiza wabunge wachache sana uchaguzi wa 2020 na hawa ni wale waliomba msamaha na kumpigia magoti hayati Magufuli

Kundi kubwa la wabunge waliopo bungeni walipitishwa kwa nguvu na hila kupitia kundi la akina Bashiru Ally ambalo liliamini kuiangamiza ccm asilia iliyokuwa inaundwa na Team lowasa pamoja na Team Membe

Haya makundi yote ya Team Lowasa na Membe ni kundi moja na marafiki sana linapokuja suala la kupeana vyeo na kukumbukana kwenye kutafuna asali ya Taifa . Wanatofautiana tu ni nani ashike Mamlaka ya juu ya nchi yaani Rais,Spika na Waziri mkuu

Emmanuel Nchimbi kwa sasa ndie mshika Mpini na katibu mkuu wa CCM taifa na tayari ameonyesha nguvu zake kwa kumptisha Rais Samia Suluhu Hassan kama mgombea urais wa mwaka 2025 bila mwanachama yeyote kuhoji kutoka kundi la ccm wakuja

Ni dhahiri hakuna mbunge hata mmoja wa ccm waliopo bungeni sasa anayeweza kupinga No reform no election isipokuwa wale wachache ambao ni Team Nchimbi kama Simba Chawene,Kibajaji na Musukuma ambao mshika Mpini ni mtu wao na watapita tu ubunge

Uchunguzi unaonyesha asilimia 90% ya wabunge waliopo bungeni hawatarudi bungeni na hao ndio wanahitaji No reform no election kuliko muda wowote ule

Wana ccm wenyewe huku mitaani ndio wanaongoza kusukuma mabadiliko yanayodaiwa na Tundu lisu kutokana na kuwawekea wenye viti wa mtaa wasiowapenda
acha upotoshaji na kutafuta kiki kivivu hivyo gentleman 🐒
 
Najaribu kusoma mada uliyoleta ila kama inafanana na picha hii ndani ya CCM
IMG_1219.jpeg
 
acha upotoshaji na kutafuta kiki kivivu hivyo gentleman 🐒
We umepotosha mangapi au wewe ni mod wa JF naanza kupata mashaka sana.sababu uwezekani kwenye mada unawahi kujibu
 
relax gentleman,
kwanini nichelewa hali ya kua kuna mambo ni mengi muda ni mchache?🐒
 
Back
Top Bottom