juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,463
Habari wana body?
Leo acha niwachambue hawa wabunge wote wa CCM, yaani hawa wabunge ni kupiliza utadhani hawajachaguliwa na wananchi bali wameajiliwa na boss mmoja.
Kama tujuavyo mtu ukiajiriwa huwa unatii kila anachokuelekeza boss ili tu kibarua kisiote nyasi.
Yani hawa wabunge wa CCM wao kila kitu kinachoamriwa na boss wao huwa hawapingani kabisa hata siku moja hadi mtu unajiuliza "hawa ni binadamu gani ambao hawapingani mawazo jamani".
Yani wao kila kitu kikiamriwa na maboss zao kadhaa basi wao wanatii hata kama ni jambo la kipumbavu.
Nyie wabunge wa CCM hivi kweli mnachaguliwa na wananchi au mnaajiriwa na boss flani wa CCM?
Kama mnachaguliwa ni kwanini kila kitu huwa mnakubali wanachosema mawaziri wenu?
Laana hiyo, haiwezekani mi eti waziri au mbunge mwenzangu anipelekeshe wakati sisi sote tumewekwa na wananchi pale bungeni wanapelekeshwa kama watoto au mfanyakazi na boss mtemi?