Mr. Mangi
JF-Expert Member
- Sep 21, 2014
- 1,512
- 771
Wabunge wa ccm tunaowaheshimu kwa misimamo yenu kwa taifa hili na wananchi wenu bila kujali itikadi za kivyama mko wapi??
Mh. Olesendeka, Kangi lugola, James Lembeli, Ester bulaya mko wapi??
Kwann mnasubiri mambo yenye maslahi kwa taifa yaendeshwe bila kusema lolote hlf madudu yatakapokuja ibuliwa ndo mjifanye mnasimama kupinga, hapana haiwezekani huo ni unafiki kwani mko wapi???
Tunahitaji kauli zenu juu ya hii miswada iliyoletwa kwa hati za dharura bila kujali ubora wala ubovu wake ila wakati uliopo ktk kuzijadili mko wapi?
Hlf kuna hawa watia nia mabubu bungeni ila majukwaani wanaongea kama chiriku tutawaaminije hamuwez kunyanyua midomo yenu kuikosoa serikal waziwazi bungeni lakini majukwaani viherere, Mwigulu Nchemba hayo madawa hospitalin utayapelekaje ilihali rasilimali za taifa zinaundiwa miswada kuwanufaisha wachache na wewe upo kimya na hicho unachoita "mabadiliko ni sasa" hayo mabadiliko umeshindwaje kuyachangia sasa kwa nafasi yako hlf uweze ukiwa ikulu?
Mh. Lowassa huo umaskini utauondoaje ingawa kwa nafasi yako hujasikika hata mara moja ukitetea maswala yenye maslahi kwa taifa wala kukemea uovu unaotokea bungeni ama serikalini sasa ukiwa raisi utakemeaje?
J. Makamba uchumi wa kati utauletaje ilihali huna muda na maswala nyeti ya taifa lako ulinishangaza sana wakati wa sakata la escrow bungeni ulitulia kimya ila swala lilipoisha ndio ukajitokeza eti wezi wote wa escrow waadhibiwe
Na watia nia wengine wote mliopo bungen mnatuacha njia panda kwa kushindwa kusimama kuonesha umahiri wenu ktk maswala yenye maslahi kwa taifa tuwaelewaje? tunajua wakati mwingine ukimya unasaidia kuficha ujinga sasa tuwaeleweje? Mpo bize ama ndo mnaficha ujinga Membe, Pinda, Ngeleja, Magufuli, migiro, Mpina, Kigwangala n.k
Wito: watia nia wote mliopo bungeni ebhu kwa hizi siku chache zilizobakia onesheni misimamo yenu kwa taifa na wananchi pia wabunge wote kwa ujumla + spika mkumbuke tuna mihili 3 inayojitegemea hivyo fanyeni kazi yenu mliyotumwa na wapiga kura wenu na kazi za serikali muiachie ifanye yake
Tukutane oct 25 ila matumaini yangu yanafifia kwani goli la mkono duh!!....

Last edited by a moderator: