Laurent lucas
Member
- Oct 25, 2012
- 20
- 0
Katka bunge la leo sikutarajia kuona baadhi ya wabunge wa ccm ni waoga kiasi kile,Jana jion walionekana wa hali ya uchungu na nchi hii leo wamerudi nyuma,hv hata ww kwa akili yako ya kawaida serikali inaweza kuchunguza jambo hili kwa usahihi kabisa na kuleta ukweli hadharan bila kumuonea mtu aya.si utamadun wa wetu kabisa labda tusubir tuone.Wabunge wa ccm wanauoga wa kutoteuliwa majina yao kama watachangia hoja ambayo ni mwiba kwa viongoz wao