Mods naomba msiunganishe wala kufuta huu Uzi ila kwa waliokaribu na TV waangalie maigizo haya ya ki------- kwa wabunge hawa kusimama na kuunga hoja kwa Wizara na kurusha maneno ya hovyo kwa upinzani halafu tena hapo hapo wanalalamika umeme hamna majimboni na vijiji vinarukwa na kulia!!