Ndio maana mzungu ilikua rahisi kututawala. Sasa hawa wenzetu wanafuata nyayo zao baada ya kujua udhaifu wa walio wengi miongoni mwetu. Wacha waendelee kutukandamiza.Umeongea point kabisa mkuu. I am sickened with what is going on kwenye jamii yetu. We are the idiot moron. Yaani hatujitambui kabisa. Yaani jamii yetu ni sawa na jamii ya wendawazimu tu.
akili labda itawaijia vichwani mwao,maana hawakuelewa na huwa hawaelewi wanapoeleweshwa...Mtu wa mwisho ndo PUNCHING BAG katika nchi hii
Hakuna kuuza mazao nje ...
damn ..Akat nyanya tenga sh 1000 Tanzania ya viwanda Kama naiona vile
[emoji708]
ukiona hivyo,ujuwe watu wameshajikatia tamaa ya maisha mkuu...Majibu ya humu hadi raha
wanampango wa kuuondoa upinzani ktk ramani ya Tz..Nawashauri wabunge wa CCM kuwa macho na miswada ya Serikali
Wabunge wa CCM ndo wengi bungeni na nguvu ya kupitisha miswada ya serikali au kukataa wanayo.
Miaka 5 sio mingi, wananchi wanawatazama....Labda ukute kuna njia nyingine za kupata kura..
Wananchi (wafanyakazi, wakulima na wafanyabiashara) wanaaangalia michango ya wabunge wa CCM.
Miswada ambayo imepita na ina madhara...
A - VAT bandarini
B - VAT tourism
C - Mafuta taa kupandishwa bei (Wakulima hapa wanaumia)
D - Hakuna kuuza mazao nje (wakulima)
Toka lini makaratasi yakautoa ulaji, hio ni ulaya tuu, but sio Africa, ile zuga tuu na ndo maana titatawala milele [emoji12]kipindi cha uchaguzi vijana tupungue mitandaoni ili tukawaelimishe wasio na elimu ya uraia huko vijijini..
Mwambie akalipe kodinawewe unaona umechangia mada???????????enzi za Amini,watu kama nyie alikuwa anawakata nyama ya kalio kisha anakwambia uile hadi uimalize.....lakini kwa vile hizo enzi zilishapita,bwabwaja tu uwezavyo mkuu..
Usipo tenda kosa kwa mwajiri hutofukuzwa kazi. Na siku hizi waajiri hawafukuzi wanaachisha na haki zako unapata. Haki kubwa anapewa mfanyakazi (fuatilia katika chama chako cha wafanyakaz umuulize katibu wako).kaa chini utafakari ulichokipost,kisha uchague jibu sahihi litakalokufaa kati ya haya;
A:kihiyo
B:mgonjwa wa akali
C:A&B
mmh!! kijana hupo makini yaani kila post hukosi?!Lawama zote kwa ccm wanaotetea itikadi za ccm badala ya kutetea maslahi ya wananchi.
Mkuu ata akipitisha mswada mibovu kiasi gani....watapita tu kwenye chaguzi...hakika nakwambia uchaguz wa 2020 hautakuwa huru.
Watanzania tutaamka lini hadi masuala ya kodi mnaleta siasa. Lazima tujifunze kulipa kodi. Miswada inayominya mianya ya kukwepa na kuwafanya wote wanaopata kipato kulipa kodi tunaingiza siasa. Mtoa mada ujue watu makini wanaotaka maendeleo hutoa kodi na kodi hutozwa kisheria. Kila kitu siasa, mi najua wapiga kura wataangalia maendeleo. Elimu, maji, barabara na huduma zingine za kijamii.Si umesema ndio wametufiksha apa.. umesahau kua tumefkiswa apa na wanafiki wanaojfanya viongoz na kuongea ktu waschomansha yaan wanaongea watu walipe kod na wawajbke il hali wao wenyewe hawafanyi hvo?
Watanzania tutaamka lini hadi masuala ya kodi mnaleta siasa. Lazima tujifunze kulipa kodi. Miswada inayominya mianya ya kukwepa na kuwafanya wote wanaopata kipato kulipa kodi tunaingiza siasa. Mtoa mada ujue watu makini wanaotaka maendeleo hutoa kodi na kodi hutozwa kisheria. Kila kitu siasa, mi najua wapiga kura wataangalia maendeleo. Elimu, maji, barabara na huduma zingine za kijamii.