juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,480
Majibu ya humu hadi rahaWewe una ahadi na Mungu kuwa utaishi mpaka ufike uzee (60 mpaka 70)?
Je umefukuzwa kazi ukiwa na miaka 35, je hiyo 30% watakayokupa inatosha mahitaji ya Familia?
Kwa Nini serikali isije na mswada wa kukopesha mwananchi angalau nusu ya akiba yake ili ajiandae (kujenga nyumba au kujiajiri)
Lengo la Serikali hapa ni kubaki na fedha za wananchi ili wakwepe kulipa deni
Hawa wakiwa makini , ni nani atagonga meza ?
Ungeongezea ni maumivu kwa wapiga kura.Nawashauri wabunge wa CCM kuwa macho na miswada ya Serikali
Wabunge wa CCM ndo wengi bungeni na nguvu ya kupitisha miswada ya serikali au kukataa wanayo.
Miaka 5 sio mingi, wananchi wanawatazama....Labda ukute kuna njia nyingine za kupata kura..
Wananchi (wafanyakazi, wakulima na wafanyabiashara) wanaaangalia michango ya wabunge wa CCM.
Miswada ambayo imepita na ina madhara...
A - VAT bandarini
B - VAT tourism
C - Mafuta taa kupandishwa bei (Wakulima hapa wanaumia)
D - Hakuna kuuza mazao nje (wakulima)
Mungu anawaona mnatupa tishet na kofia amtupi suruali ili tutembee uchi ok mungu anawaona kwa mnayotutendeaKura mtatupigia tuu kama kawaida baada ya kuwapa buku 2 za viroba na kanga kofia na tishet
Unachekesha. Hujui unalo lisimamia. Kwa nini ufukuzwe kazini? Umeajiriwa ili ufukuzwe kazi?Wewe una ahadi na Mungu kuwa utaishi mpaka ufike uzee (60 mpaka 70)?
Je umefukuzwa kazi ukiwa na miaka 35, je hiyo 30% watakayokupa inatosha mahitaji ya Familia?
Kwa Nini serikali isije na mswada wa kukopesha mwananchi angalau nusu ya akiba yake ili ajiandae (kujenga nyumba au kujiajiri)
Lengo la Serikali hapa ni kubaki na fedha za wananchi ili wakwepe kulipa deni
Inashangaza kweli, Jirani zetu Kenya hawana ardhi ya kulima wala Mazao ya kutosha, hawalii njaa na ndio wasafirishaji wakubwa wa chakula kutoka nchini kwao. Haijalishi wamelima hapo hapo Kenya au wamenunua kutoka nchi nyingine. Huwezi kusikia serikali imezuia export. Ina maana tunajua zaidi yao au ni uvivu wa kufikiri wa viongozi wetu? <font color="[HASHTAG]#ff4d4d[/HASHTAG]">Jamie forum raha kweli</font>Mambo haya ndio yaliozuia maendeleo kwa miaka mingi. Unawahimiza watu kulima wanavuna, badala ya kuwasaidia kupata soko unafunga hata hilo dogo lililopo. <br />Sijawahi ona nchi ya ajabu kama hii; kulima Ulime we we, eti mtu anakuja kukupangia kwa kuuza hayo mazao, ajabu jingine lapatikana Tanzania, nchi nyingine wakulima wanatafutiwa mazao Yao nje ya nchi kwetu tunzuiwa kuuza nje ilihali utakuta mchele toka nje ya nchi umejaa huko masokoni, poor Tanzania
Nimekudharau sana.Unachekesha. Hujui unalo lisimamia. Kwa nini ufukuzwe kazini? Umeajiriwa ili ufukuzwe kazi?
Kuhusu kuishi ndio Mungu anapenda tuishi umri mrefu. Kufa kabla ni uzembe. Usimsingizie Mola ni wewe na ufedhuli wako.
Asa kwenye suruali picha zetu tutaweka wapi [emoji15]Mungu anawaona mnatupa tishet na kofia amtupi suruali ili tutembee uchi ok mungu anawaona kwa mnayotutendea
aiseee....Kura mtatupigia tuu kama kawaida baada ya kuwapa buku 2 za viroba na kanga kofia na tishet
ok,mchango wako unahitajika...je tufanyeje ili uchaguzi uwe huru?Mkuu ata akipitisha mswada mibovu kiasi gani....watapita tu kwenye chaguzi...hakika nakwambia uchaguz wa 2020 hautakuwa huru.
unajitoa hili ili invest sasahiviHebu wasaidie kufafanua unacho kielewa. Faida ya fao la kujitoa na hasara yake usipojitoa.
Unajitoa ili ufanye nini? Uzee unaujua? Hebu wasaidie tafadhali.
nawewe unaona umechangia mada???????????enzi za Amini,watu kama nyie alikuwa anawakata nyama ya kalio kisha anakwambia uile hadi uimalize.....lakini kwa vile hizo enzi zilishapita,bwabwaja tu uwezavyo mkuu..Si umesema ndio wametufiksha apa.. umesahau kua tumefkiswa apa na wanafiki wanaojfanya viongoz na kuongea ktu waschomansha yaan wanaongea watu walipe kod na wawajbke il hali wao wenyewe hawafanyi hvo?
kaa chini utafakari ulichokipost,kisha uchague jibu sahihi litakalokufaa kati ya haya;Unachekesha. Hujui unalo lisimamia. Kwa nini ufukuzwe kazini? Umeajiriwa ili ufukuzwe kazi?
Kuhusu kuishi ndio Mungu anapenda tuishi umri mrefu. Kufa kabla ni uzembe. Usimsingizie Mola ni wewe na ufedhuli wako.
huyo naye ndo think tank wa familia..ndo maana watz wengi wanalia umasikini kumbe mathink tank yao ni empty kabisa kama hilo ulolidharau...Nimekudharau sana.
kipindi cha uchaguzi vijana tupungue mitandaoni ili tukawaelimishe wasio na elimu ya uraia huko vijijini..Mungu anawaona mnatupa tishet na kofia amtupi suruali ili tutembee uchi ok mungu anawaona kwa mnayotutendea