Wabunge wa bunge la katiba

Wabunge wa bunge la katiba

Cheche Mtungi

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2010
Posts
2,619
Reaction score
777
===>Watanzania tunawategema sana kwenye sula hili la kutengeneza katiba mpya,
===>Msije mkachoma ngazi ya kutokea nje ya ukuta mrefu kwa sababu ya baridi (posho na mihemuko yenu,na ushabiki wa kisiasa) ya siku sabini,chonde chonde!
===>Hamtatoka,itumieni hii bahati vizuri.

attachment.php

===>Mungu ibariki Tanzania.
 

Attachments

  • MCHOMA BAHATI 3.jpg
    MCHOMA BAHATI 3.jpg
    241.9 KB · Views: 441
Back
Top Bottom