CCM wakisikia hivi wanafurahi sanaSitopiga kura tena
We don't care..... maana wanajipea kuraCCM wakisokia hivi wanafurahi sana
Wao wanampenda mtukama wewe.We don't care..... maana wanajipea kura
Inabidi jambo lifanyike kwa kweli, wapatikane wabunge wenye kutanguliza maslahi ya Taifa badala ya maslahi binafsi kupitiliza.Hakuna jambo baya kama mmoja wenu kugeuka kuwa kibaraka dhidi ya jamii yake. Hicho ndicho kilichofanywa na wale wabunge bandia kule bungeni.
Wabunge hawa vibaraka waliongozwa na Musukuma na Nape, na wengine wote wakawaunga mkono.
Japo uchaguzi wa Tanzania huwa ni kiinimacho, tupambane kwa nguvu ya pamoja bila ya kujali vyama, hawa wabunge waovu, kusiwepo hata mmoja wa kwenda Bungeni. Hata kama una mapenzi makubwa ya chama chako kiasi, likionekana jina mojawapo la hawa baradhuli, hakuna kufikiria mara mbili, kura yako iwe kwa mwingine yeyote.
Mwaka 2025, baada ya kupiga kura hakuna kuondoka, kura zihesabiwe hadharani.
Hii sala yako ni fikirishi mno. Unatamani taifa la wacha Mungu hasa wakati wataifa wenyewe hawawaziii kuwa kama navyotamani.Bwana Uturehemu
Kristo Uturehemu
Bwana Uturehemu
Kama CCM wameiba Sanduku la kura na kulificha kusikojulikana, kupiga kura na kuzilinda hakutosaidia.
Unaweza kulinda kura ya diwani na mbunge,
Kura ya Rais huwezi ilinda, na RAIS ndo mhusika mkuu na chanzo Cha mkataba huo batili.
Kuteka na kuiba kura kuzuia KWELI Ili Uongo utawale Kwa mabavu ni kujitwalia Utukufu wa Mungu,
Mungu atajibu yote tukimwomba, kama aliangusha utawala wa Rumi, haezi shindwa kuiamgusha CCM .
Atawafitinisha wao Kwa wao Ili andiko litimie.
Tusubiri.
AMINABwana Uturehemu
Kristo Uturehemu
Bwana Uturehemu
Ebana kukata tamaa ni dhambi mkuu, kura yako na mwingine aliyekata tamaa itasaidia kumtia shaka mwizi,jambazi na muuaji wa maisha yetu ccm2015 ilikuwa mara yangu ya mwisho kupiga kura
Nilisema sitopiga kura tena
Tungeoondokana na ujinga huu tungepata wabunge wazuri sanaHakuna jambo baya kama mmoja wenu kugeuka kuwa kibaraka dhidi ya jamii yake. Hicho ndicho kilichofanywa na wale wabunge bandia kule bungeni.