Governor of Bettors-GB
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 11,059
- 10,519
Azam two ni channel. 102 ngoja nimuangalie selemu itv jiji letu akimaliza ndio ni swich on.
Wabunge wa UKAWA wapo?
Unapomjadili mwezio kwa ubaya kwanza jiangalie wewe. Wao waende kujadili nini,au hujui kila kitu kina muda wake. Mie ningekushauri kwanza ungeenda shule ya kiswahili halafu ndio useme wenzio.Siku hizi kuna Elim ya watu wazima tena bureeMajinga haya bahada ya mwenda kujadiri katika yanaenda kucheza mpira
Mkuu, inanekana toto hili nawe linakukonga moyo eee!! Ila sisi "walokole" tunasema, anatubarki sana!!!
nawewe mpuuzi sana we unafikili yana nini kule amna lolote la maana sisi watanzania hatuitaki tena iyo katiba yaludi tu heti simba na yanga kama mapuuzi vileeee yaani yananibohaaaa kama niwatume al shaababu vileUnapomjadili mwezio kwa ubaya kwanza jiangalie wewe. Wao waende kujadili nini,au hujui kila kitu kina muda wake. Mie ningekushauri kwanza ungeenda shule ya kiswahili halafu ndio useme wenzio.Siku hizi kuna Elim ya watu wazima tena buree
Acha tu jicho jicho sura sura.