Wabunge: Njaa Inatuua

Wabunge: Njaa Inatuua

Pagan Amum

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2015
Posts
1,930
Reaction score
4,407
1467173192259.jpg
Sasa ni dhahir Magufuli kabana kila kona. Wabunge wamesikika wakilalamika kuwa hali yao mfukoni ni mbaya zaidi. Imefikia kipindi wanakimbia hata Hoteli kwa madeni.

Source: Jambo Leo 29.6.2016
 
Si kweli! Wanatudhihaki walalahoi. Tunajua wao ni watu wenye kipato cha juu kabisa iweje waanze kulialia kama sisi? Au wanatafuta 'huruma' kwetu na kutusahaulisha machungu yetu? Hiyo janja ya nyani bhana.
 
hahahahhahahahaahhaahahahah.....Walikuwa wanawabania UKAWA hivo vijiposho vyao hawajui kuwa tu Opposition ni kujitoa sadaka.....na ni watoro balaa na bado wanalipwa posho
 
Wenye njaa watakuwa kijani maana sidhani kama wana maarifa mengne zaidi yakutegemea tu ubunge changia zao tu bungeni unajua kabisa hawa wakikosa mshahara wanalala njaa na hawajazoea unategemea nini kama sio kulia lia magazetini
 
Sasa ni dhahir Magufuli kabana kila kona. Wabunge wamesikika wakilalamika kuwa hali yao mfukoni ni mbaya zaidi. Imefikia kipindi wanakimbia hata Hoteli kwa madeni.

Source: Jambo Leo 29.6.2016
Waache kulalamikia gizani! Mbona wa UKAWA walishaziwa kuchukua posho? Nadhani unamaanisha wale wa CCM, waache kulalama waliwaahidi wananchi kuwa watawatumikia waende huko majimboni kwanza wanalipwa mishahara.
 
Kwani zile posho Zao za malaki mangapi sijui zilipunguzwa? Inabidi nao waishi kama shetani sio kama malaika miaka yote, naona hali ya kuheshimiana inatimia taratibu.
 
Wenye njaa watakuwa kijani maana sidhani kama wana maarifa mengne zaidi yakutegemea tu ubunge changia zao tu bungeni unajua kabisa hawa wakikosa mshahara wanalala njaa na hawajazoea unategemea nini kama sio kulia lia magazetini
Hivi wa chadema wanaongezea kipato kwa ukabaji roba?
 
Back
Top Bottom