Pagan Amum
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 1,932
- 4,400
Source: Jambo Leo 29.6.2016
Waache kulalamikia gizani! Mbona wa UKAWA walishaziwa kuchukua posho? Nadhani unamaanisha wale wa CCM, waache kulalama waliwaahidi wananchi kuwa watawatumikia waende huko majimboni kwanza wanalipwa mishahara.Sasa ni dhahir Magufuli kabana kila kona. Wabunge wamesikika wakilalamika kuwa hali yao mfukoni ni mbaya zaidi. Imefikia kipindi wanakimbia hata Hoteli kwa madeni.
Source: Jambo Leo 29.6.2016
Jambo leo ban inawahusuView attachment 361047 Sasa ni dhahir Magufuli kabana kila kona. Wabunge wamesikika wakilalamika kuwa hali yao mfukoni ni mbaya zaidi. Imefikia kipindi wanakimbia hata Hoteli kwa madeni.
Source: Jambo Leo 29.6.2016
Hilo nalo ni uchochezi??Jambo leo ban inawahusu
Hivi wa chadema wanaongezea kipato kwa ukabaji roba?Wenye njaa watakuwa kijani maana sidhani kama wana maarifa mengne zaidi yakutegemea tu ubunge changia zao tu bungeni unajua kabisa hawa wakikosa mshahara wanalala njaa na hawajazoea unategemea nini kama sio kulia lia magazetini