Wabunge na spika wekeni taarifa zenu za kweli kwenye tovuti yenu!

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,100
8,729
Yani jana niliaibika sana nakutana na mtu anahitaji kuwasiliana na wabunge kwa ajili ya wazo moja zuri ili waone jinsi ya kuongeza ajira nchini, namwelekeza aende kwenye Website ya Bunge akaangalie email Adress atapata za wabunge wote, kumbe zote ni za uongo! Sasa wanamdanganya nani?

Ebu wekeni namba za ukweli na email adress za kweli kwenye website ya Bunge letu, hii ni pamoja na Spka mwienyewe.

Ni kweli website ya bunge ina mapungufu mengi sana.

1 .Hansard nyingi zinachelewa kuwekwa kwenye website ya bunge hivyo tunashindwa kuzi access bunge lililopita hansard za kila siku bungeni zilikuwa zinapatikana siku hiyo hiyo.

2. Order papers za bunge zinawekwa baada ya bunge kukaa vikao hivyo inakuwa ngumu kujua bunge leo linajadili nini, bunge lililopita order paper za bunge zilikuwa zinapatikana kwa urahisi zaidi.

3. Parliamentary proceedings websites mpaka wiki iliyopita ilikuwa inaonyesha orodha ya shughuli za bunge la kumi.

4. Kuna wakati mwingine websites haifanyi kazi vizuri hivyo tunashindwa kuaccess documents ambazo ni accessible na public.

5. Documents za wapinzani hazionekani mfano hotuba zote za kamati za kambi za upinzani na hotuba ya kiongozi mkuu wa kambi ya upinzani hazipatikani toka bunge la kumi na moja linaanza.

6 .Ministerial statements nyingi ni za bunge la kumi wakati ministers wameshatoa matamko mengi tu bungeni kwenye bunge hili la kumi. Ministerial statement iliyopo ni ya Nape kuzuia bunge kuonyeshwa live, je zingine siyo muhimu.
Kwa mara ya mwisho nimevisit bunge leo tu.

Maoni
Bunge lianzishe utaratibu wa newsletter watu tuweze kupata taarifa za shughuli za bunge kwa urahisi zaidi bila kusubiria kuingia website au edited TV programs.
 
Katibu wa Bunge.......je yana ukweli au ni kuchafuana....????hata mimi sasa hivi nitajaribu website ya Bunge nione kama ni kweli
 
Jaribu mkuu we chukua email mojawapo tuma hat ujumbe mfupi haufiki unafail this is very shame!
 
Ni kweli website ya bunge ina mapungufu mengi sana.

1 .Hansard nyingi zinachelewa kuwekwa kwenye website ya bunge hivyo tunashindwa kuzi access bunge lililopita hansard za kila siku bungeni zilikuwa zinapatikana siku hiyo hiyo.

2. Order papers za bunge zinawekwa baada ya bunge kukaa vikao hivyo inakuwa ngumu kujua bunge leo linajadili nini, bunge lililopita order paper za bunge zilikuwa zinapatikana kwa urahisi zaidi.

3. Parliamentary proceedings websites mpaka wiki iliyopita ilikuwa inaonyesha orodha ya shughuli za bunge la kumi.

4. Kuna wakati mwingine websites haifanyi kazi vizuri hivyo tunashindwa kuaccess documents ambazo ni accessible na public.

5. Documents za wapinzani hazionekani mfano hotuba zote za kamati za kambi za upinzani na hotuba ya kiongozi mkuu wa kambi ya upinzani hazipatikani toka bunge la kumi na moja linaanza.

6 .Ministerial statements nyingi ni za bunge la kumi wakati ministers wameshatoa matamko mengi tu bungeni kwenye bunge hili la kumi. Ministerial statement iliyopo ni ya Nape kuzuia bunge kuonyeshwa live, je zingine siyo muhimu.
Kwa mara ya mwisho nimevisit bunge leo tu.

Maoni
Bunge lianzishe utaratibu wa newsletter watu tuweze kupata taarifa za shughuli za bunge kwa urahisi zaidi bila kusubiria kuingia website au edited TV programs.
 
Nani mkurugenzi wa habari Bungeni pale? we need to aceeses those information, ebu angalien hapo juu, haiwezekani kabsa chombo muhim kama hicho kiwe hivyo bhana!
 
ni kweli website ya bunge ina mapungufu mengi sana.
1 hansard nyingi zinachelewa kuwekwa kwenye website ya bunge hivyo tunashindwa kuzi access bunge lililopita hansard za kila siku bungeni zilikuwa zinapatikana siku hiyo hiyo.
2 order papers za bunge zinawekwa baada ya bunge kukaa vikao hivyo inakuwa ngumu kujua bunge leo linajadili nini, bunge lililopita order paper za bunge zilikuwa zinapatikana kwa urais zaidi.
3 parliamentary proceedings websites mpaka wiki iliyopita ilikuwa inaonyesha orodha ya shughuli za bunge la kumi
4 kuna wakati mwingine websites haifanyi kazi vizuri hivyo tunashindwa kuaccess documents ambazo ni accessible na public.
5 documents za wapinzani hazionekani mfano hotuba zote za kamati za kambi za upinzani na hotuba ya kiongozi mkuu wa kambi ya upinzani hazipatikani toka bunge la kumi na moja linaanza.
6 ministerial statements nyingi ni za bunge la kumi wakati ministers wameshatoa matamko mengi tu bungeni kwenye bunge hili la kumi. ministerial statement iliyopo ni ya Nape kuzuia bunge kuonyeshwa live, je zingine siyo muhimu.
kwa mara ya mwisho nimevisit bunge leo tu.

maoni.
bunge lianzishe utaratibu wa newsletter watu tuweze kupata taarifa za shughuli za bunge kwa urahisi zaidi bila kusubiria kuingia website au edited tv programes.
Ulipotaja hilo swala la mwisho nikawaza, that may b...just may be hata hizo info zimezuiwa
 
Usishangae ukaambiwa tovuti inafungwa kwasababu ni gharama kuiendesha.
 
inawezekana japo sina uhakika hata records za wabunge haziko sawa kuna wabunge wameshachangia zaidi ya mara moja lakini kwenye record zinaonyesha tofauti, mfano rcord za mchungaji msigwa zinaonyesha kauliza supplementary questions peke yake wakati amewahi kuchangia pia.
inakuwa ngumu kidogo kuitumia website ya bunge kufanya hata utafiti kwa sababu taarifa zake ni za kutilia shaka kidogo wanapaswa warekebishe kasoro hizi, bunge ni sehemu muhimu na nyeti sana na ni reliable kwa researcher kukusanya taarifa sasa waboreshe hiyo website yao.
 
Hivi, umu jf hawamo hao wabunge na wamaziri au wananingiaga wakati wakampeni ili kupata kick.
 
Hivi, umu jf hawamo hao wabunge na wamaziri au wananingiaga wakati wakampeni ili kupata kick.
ni muhimu sana tuweke msisitizo kwenye hili tudai uwazi kwenye website ya bunge na itoe taarifa sahihi na kwa wakati kuna wengine hatuna access na tv ila tunaweza kuingia kwenye website ya bunge na kupata taarifa za msingi bila kusubiri edited tv programs.
mods kama wanatusikie wauwekee stiky huu uzi tupate support kutoka kwa wadau wengine
 
Back
Top Bottom