SMU thats the best way so far to restore accountability and responsibility amongst the ministers and MP's that has been lost/missing for as long as i can remember! The aim of having the house filled with intellectuals isnt to observe what they can or cant do but to serve as reliable watchdogs against those on the higher hierarchy who are making lame decisions for us poor Tanzanians believing that nobody can question them or block their decisions not even the government's main watchdog (House of parliament) because it is full of members lacking the appropriate or rather enough educationI really doubt if that is a solution. Let's think of the number of PhDs and Professors that we have had in that house and what they have done so far.....! Mind you, we also have an economist and a PhD holder in the 'first office'!
If I was to mention 5 five things that an MP 'needs' to perform his job properly, a university degree would not be among them!SMU thats the best way so far to restore accountability and responsibility amongst the ministers and MP's that has been lost/missing for as long as i can remember! The aim of having the house filled with intellectuals isnt to observe what they can or cant do but to serve as reliable watchdogs against those on the higher hierarchy who are making lame decisions for us poor Tanzanians believing that nobody can question them or block their decisions not even the government's main watchdog (House of parliament) because it is full of members lacking the appropriate or rather enough education
Ni kweli mkuu...ukizingatia pia tumeingia kwenye jumuiya ya Afrika mashariki, seriously we cant afford to have representatives who will be nodding their heads to everything the kenyans, ugandans etc say...Hiyo ni njema sana,na Tanzania ipitishwe hiyo kitu,maana wakina Prof.maji marefu hawajui hata ku-constract maswali,itapunguza waganga wa kienyeji na mambumbu wa mgamba bungeni wanaosinzia wakizinduka wanaamkia kupiga meza,hawa wagonga meza ndio wanashindwa kusoma na kuelewa miswada ya kingereza,ni janga,naunga 100% ipite na hapa Tanganyika.
I really doubt if that is a solution. Let's think of the number of PhDs and Professors that we have had in that house and what they have done so far.....! Mind you, we also have an economist and a PhD holder in the 'first office'!
If I was to mention 5 five things that an MP 'needs' to perform his job properly, a university degree would not be among them!
Salaam JF,
Ni hili swala la wabunge wa Jamhuri kuwa na elimu ya at least shahada ya kwanza (undergraduate degree)...juzi MH. John Mnyika alipokuwa anahutubia bunge kwenya mjadala wa bajeti kuu ya serikali alisema "tumefika hapa tulipo(kwenye umaskini wa kutupwa na hali ngumu ya maisha ambayo haijawai kutokea) kwasababu ya udhaifu wa raisi kikwete, uzembe wa bunge na upuuzi wa ccm"...kwenye hili swala la uzembe wa wabunge, naona kuna hoja mbadala zaidi ya uzembe, kuna wabunge wengi tu bungeni wanafanya/support maamuzi bila kujua athari zake kesho na kesho kutwa kwao( watakapotoka hapo mjengoni) na kwa jamii nzima kutokana na ukosefu wa elimu (ukomavu wa fikra), Majirani zetu hapo kenya wameshapitisha hili...kuanzia mwaka kesho hakuna mbunge ataruhusiwa kugombea bila kuwa na at least shahada ya kwanza, tusijipe moyo kwamba...mbona TZ wasomi ndio wanongoza kwa uwizi, ni wanaiba kwasababu wanajua bunge limejaa watu ambao hawajakomaa kiakili, ambao watapitisha hoja yeyote bila kujali uhalisia wake! Elimu kwa watu wanaotuongoza ni muhimu sana....."The function of education is to teach one to think intensively and to think critically. Intelligence plus character - that is the goal of true education." -Martin Luther kng Jr, Naamini hata sisi hatutakuwa tumewahi sana tukilijumuisha hili katika marekebisho ya katiba yanayoendelea.
Nawaisilisha.

Umesahau kitu kimoja... ELIMU Sio NGUZO ya kumfanya Mtu kuelewa Masuala ya Ulimwengu; Kuna watu wenye Elimu
Hawaongei bila kuweka Matusi; Hawana Mwamko wa Kisiasa au Mweleko; Uongozi au Siasa ni HEKIMA sio DEGREE