Wabunge ni motivational speakers.Hawa waheshimiwa wakati wa kunogesha mada mjengon hutupia kibwagizo cha Watu kujiajiri Ila wao wapo kwenye Payroll miaka na miaka (na mikopo wanachukua benk Kwa udhamini wa ofisi. Imekaaje hii?
Wamejiajiri kwenye "Mgodi wao" uliopo kule Dodoma, kweli wewe hujui hili?Hawa waheshimiwa wakati wa kunogesha mada mjengon hutupia kibwagizo cha Watu kujiajiri Ila wao wapo kwenye Payroll miaka na miaka (na mikopo wanachukua benk Kwa udhamini wa ofisi) wakiumwa hata mafua tu hapo India miezi 8. Imekaaje hii?
Ukoo wa kifalme unahitaji kujiajiri? Wakujiajiri kwenye kilimo na ufugaji au biashara za kimachinga na kuendesha toyo ni watoto wanyonge.Hawa waheshimiwa wakati wa kunogesha mada mjengon hutupia kibwagizo cha Watu kujiajiri Ila wao wapo kwenye Payroll miaka na miaka (na mikopo wanachukua benk Kwa udhamini wa ofisi) wakiumwa hata mafua tu hapo India miezi 8. Imekaaje hii?
Ila ajira bado wanaendelea nayo?Dodoma kila bar na hotel ukiulizia unaambiwa ya mbunge fulani, wakisema wamejiajiri wako sahihi
Mkuu Chukua form ugombee ubunge 2025.Hawa waheshimiwa wakati wa kunogesha mada mjengon hutupia kibwagizo cha Watu kujiajiri Ila wao wapo kwenye Payroll miaka na miaka (na mikopo wanachukua benk Kwa udhamini wa ofisi) wakiumwa hata mafua tu haoo India miezi 8 bill kwa mwajiri. Akifa jeneza gharama ya mwajiri pia. Imekaaje hii?
Uliwachangia fedha za Kampeni?Watu kujiajiri Ila wao wapo kwenye Payroll miaka
InshaAllahMkuu Chukua form ugombee ubunge 2025.
Wangejiajiri mngewakilishwa na nani?Hawa waheshimiwa wakati wa kunogesha mada mjengoni hutupia kibwagizo cha Watu kujiajiri Ila wao wapo kwenye Payroll miaka na miaka (na mikopo wanachukua benki kwa udhamini wa ofisi) wakiumwa hata mafua tu haoo India miezi 8 bill kwa mwajiri. Akifa jeneza gharama ya mwajiri pia. Imekaaje hii?